Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

The outpost

Member
Joined
May 3, 2017
Posts
75
Reaction score
128
IMG_1903.jpeg

Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
 
Really? Una reference ya kesi yoyote ambayo mashahidi waliadhibiwa
Yes, Kuna ndugu yangu mmoja Ali ingia kwenye hifadhi.... Akaiba nyara za serikali..ila Kuna dawa siku ya hukumu Kuna mzizi alipewa akawauliza mashahidi...wakajichanganya uamuzi ulipo toka..

Hakimu aka muachilia huru pia yule askari police na traffic hakimu aka wahukumu kwenda jera miezi sita au faini ya laki moja moja ili iwe funzo kwa wengine wenye nia ama kutenda KOSA la kutoa ushahidi wa UONGO ambao ni BATILI..

Hii story ya hii kesi inastaajabisha na ilitangazwaga mpaka RFA
 
Achana na katuni. Hamkawii kwenda kumteka Kipanya. Hivi wale mashahidi wa mchongo kwenye kesi ya Lissu mwisho wa siku watapewa adhabu gani kwa kutoa uashahidi wa uwongo mahakama kuu?
Mimi nadhani huyu Kaaya anayetoa ushahidi sasa hivi kaona serikali wanataka kumlazimisha kufanya ujinga ambao hataki hivyo anamwaga mboga.
 
Yes, Kuna ndugu yangu mmoja Ali ingia kwenye hifadhi.... Akaiba nyara za serikali..ila Kuna dawa siku ya hukumu Kuna mzizi alipewa akawauliza mashahidi...wakajichanganya uamuzi ulipo toka..

Hakimu aka muachilia huru pia yule askari police na traffic hakimu aka wahukumu kwenda jera miezi sita au faini ya laki moja moja ili iwe funzo kwa wengine wenye nia ama kutenda KOSA la kutoa ushahidi wa UONGO ambao ni BATILI..

Hii story ya hii kesi inastaajabisha na ilitangazwaga mpaka RFA
Hii ikifanyika kwenye kesi mashuhuri kama ya lisu itakuwa fundisho
 
Back
Top Bottom