The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kuna kitu cha kushangaza kwenye hicho kibonzo,
Tofali la mwisho mkono wa kulia limeanguka,yani limepeleka force kwenye tofali linalofuatia,hapa ilitakiwa matofali yote yanayofuata yawe yame egamiana,yani yamelaliana,
But matofali yote bado yamesimama na kuna gap kati ya kila tofali na tofali lingine!
Hilo tofali la mkono wa kushoto pamoja na hilo gogo vingekua vimezuwia tu matofali yasianguke ila visingekua na uwezo wa kuzuwia matofali yasilaliane kwa force iloyotoka kwenye totali la mwisho mkono wa kulia,
Hapa bado natafakari tafsiri ya hichi Kibonzo ni nini hasa?