The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Prince William ni mkoministi roho mbaya sana. Ila Queen alimpenda sana Prince Andrew he was her favourite son.Tunalinda heshima ya familia kwa ujumla
Aibu ndogo tunafukuza tu
Ila naona Prince Wills ndio kalivalia njuga
Ingawa Queen alimpenda sana Ila hakujua mapungufu yake
Wakuu mwenye apdate kinachoendelea mahakamani tusaidiwe sisi tunaoshindwa kuzipata...Mimi nadhani huyu Kaaya anayetoa ushahidi sasa hivi kaona serikali wanataka kumlazimisha kufanya ujinga ambao hataki hivyo anamwaga mboga.
Wills ni mbaya haswaPrince William ni mkoministi roho mbaya sana. Ila Queen alimpenda sana Prince Andrew he was her favourite son.
Umemaliza kila kitu mkuu, nadhani hii tafsiri ipo complete na realistic kutokana na kinachoendelea nchini kwa sasa🫡Hapo kuna nguvu mbili zenye lengo moja, kuna force iliyo mbele,na hiyo ndiyo huwa inaangaliwa zaidi, hivyo wamewahi kuidhibiti,angalia gogo hilo, ipo hivi, serikali iliamini kuwa adui yao pekee ni chadema,hence wanapambana kuwadhibiti viongozi wake kwa kuwaweka sero nk, ila hawakujua kuwa nyuma kabisa pia mambo si shwari,mara wanatokea akina polepole,mpina,tesha nk kutoka upande ambao hawakuutarajia, mbaya zaidi ni kuwa upande huo haujadhibitiwa vya kutosha, hilo ndiyo lile tofali la nyuma, tomorrow is friday.
Inawezekana ila sidhani kama jambo la kushtukiza litaweza kuleta heka heka country wideLikitokea jambo la kutibua akili za wabongo kinaumana