Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

Sio kweli Petit sio Abdul jamani Petit alikuwa ana act kwa jina la Mani na Abdul bado yupo na alishiriki Maisha plus msimu wa 3 kama sikosei alikuwa mshiriki kutoka Mwanza hata mkifatilia mtamuona na alitoka mapema tu akiwa kijijini bila kushinda.

Hayo mambo ya zamani binamu. Nikikuuliza sasa ivi peti anavyojulikana ni kwa sababu ya shughuli gani? Ukinipa jibu itakuwa poa, maana ata Mimi nimemjulia kupitia wema nadhan na wengine pia hvyo hvyo.
 
Yup binamu ila umaarufu ulikuja sana alipoenda jela na alipotolewa zile pesa na Wema watu wakawa attention kumfatilia na soon akaitwa kwenye Mkasi na urafiki na wema ukazidi kumuweka juu ila alishakuwaga juu enzi za Majani na hata walipoachana na kuolewa ilikuwa story kubwa tu kwenye magazeti ya pale Bamaga.

Yap, ni kweli ata Mimi nilianza kumjua alipokuwa na p funk.
 
Hayo mambo ya zamani binamu. Nikikuuliza sasa ivi peti anavyojulikana ni kwa sababu ya shughuli gani? Ukinipa jibu itakuwa poa, maana ata Mimi nimemjulia kupitia wema nadhan na wengine pia hvyo hvyo.

Kiukweli hata me nilimsahau japo nilishamsikia tangu kwenye wimbo wa bongoflavor wa dully alimpaisha nikaja kujua alikuwa anaigiza baada ya mama abdul kuhojiwa clouds ndo akatukumbusha ila nikikuwa namcorrect jamaa aliyesema Petit ni Abdul sio kweli Abdul bado yupo naye haigizi na Mani a.k.a Petit naye yupo maarufu sikuiz sababu ya wema ila binafsi nakumbuka scene zake za utoto enzi zile kwenye mambo hayo
 
Aaaaah nakuona kijana wa zamani una detail zote

Umaarufu zamani ilikuwa issue siyo kama siku hizi, ukitoka na msanii wa bongo movie au mwanamuziki tayari maarufu, zamani walikuwepo kina Ipi Malecela, Abbas Mwinyi, Idd Janguo, Abdu Msomali ndiyo walikuwa na hela, walikuwa na access ya kumchukua demu yoyote hata kama ni wa mtu.
 
aisee yani ungembakisha huyo mwenye sura ngumu ka ngozi ya goti sijui kifesi...ungeharibu uzi wote huo......anaforce kuwa maarufu huyo. Muuzasura
 
Last edited by a moderator:
Niume sikio basi, ujue leo sijapata umbea wa mjini kabisa....nishukie basi kabla haujapoa

Nasikia wema alienda kujiuza Nairobi kwa dola elfu mbili kwa yule jamaa aliyetokaga na wolper na uwoya ,yule jamaa wa kipindi kile unakumbuka had akina wema wakaanza kumchamba wolper kwenye kipind cha zamarad, anaitwa ababuu Sijui , nasikia wema alimdanganya ndomo anaenda arusha kumbe kaenda kukiuza, mbaya zaidi pesa hajapewa nasikia kila wakat wema anampigia jamaa simu ampe chake, jamaa si unajua kashajilia mzigo hamtak tena , nasikia huyo jamaa yupo double tree chumba no 814 , nasikia anatafuna sana Dada zetu, huyu ndo aliyemtangazia wolper ananuka papuchi
 
Hahahaha nawe umemuamini team uwazi na ukweli hahaha ...yule muongo ile picha ilipigwa arusha bwana
 
Umaarufu zamani ilikuwa issue siyo kama siku hizi, ukitoka na msanii wa bongo movie au mwanamuziki tayari maarufu, zamani walikuwepo kina Ipi Malecela, Abbas Mwinyi, Idd Janguo, Abdu Msomali ndiyo walikuwa na hela, walikuwa na access ya kumchukua demu yoyote hata kama ni wa mtu.

Aaaaaah kweli jamani hao ni wa zamani hata kuwajua siwajui
 
Hahahaha nawe umemuamini team uwazi na ukweli hahaha ...yule muongo ile picha ilipigwa arusha bwana

Binamu si unajua mmbea siku zote hadanganyagi? picha na matukio havifanani, kwanza wewe unamjua huyo team ukweli ni nani? Basi uwe mpole
 
Nasikia wema alienda kujiuza Nairobi kwa dola elfu mbili kwa yule jamaa aliyetokaga na wolper na uwoya ,yule jamaa wa kipindi kile unakumbuka had akina wema wakaanza kumchamba wolper kwenye kipind cha zamarad, anaitwa ababuu Sijui , nasikia wema alimdanganya ndomo anaenda arusha kumbe kaenda kukiuza, mbaya zaidi pesa hajapewa nasikia kila wakat wema anampigia jamaa simu ampe chake, jamaa si unajua kashajilia mzigo hamtak tena , nasikia huyo jamaa yupo double tree chumba no 814 , nasikia anatafuna sana Dada zetu, huyu ndo aliyemtangazia wolper ananuka papuchi

Binamu hizi news unazipatiaga wapi?Duh kweli watu mna habareee
 
we nakujua ni team penseli...me team wema kwakweli...uliona penseli alivyokuwa anakatika juzi kwenye maulidi?

Umeniwahi, nilitaka kukwambia wewe timu wema, maana nikikupa umbea wa wema unakuwa mdogo unakosa pozi hadi nakuonea huruma, ila ndo hvyo kafumwa shoga yako akitoa papuchi kwa dola 2000 , tena Pancho ndo kuwadi nasikia, kwanza alimtafutia uwoya jamaa akakataa, akasema siku izi kachuja hana jipya ndo bibie sepetunga kajipeleka kumbe watu wanamchora, nasikia uko Nairobi alikuwa hatak watu wampige picha, kumbe mwenzao yupo kwenye biashara, maskin ndo mumwambie shemej yenu ndomo amtumze mama ubaya, hadi gharama za les wig ndomo kazikimbia kamnyoa mtoto wa watu kipara, chezea ndomo wewe
 
Kuna mmoja namuona insta anajiita martinkadinda jamaa wa misifa sana kupiga mapicha kama watotot wa kike kila sehem picha,simjui ni nani huyu?

Ni S.H.O.G.A maarufu maeneo ya Sinza aka Manhattan Ndogo, anapenza sana ushost na watoto wa kike ambao ni maarufu sijawai kumuona na rafiki Mwanaume Zaidi ya Rafiki wenye Jinsia ya Kiume tu ,ambao ni Rio Paul, Noel Ndale na Bilal Mashauzi
Vilevile ktk kipindi cha wema sepetu in my shoes uwa anapenda kumzodoa wema na kumwambia vitu personally mbele ya camera ili ajionyeshe yeye anamjua sana
 
Swahiba kwa Petit man wakuache umevaba jamaa ni anajulikana kabla hajaanza kufuatana na Wema ni mbishi kitambo uliza watoto wa 26 number akina Nyandu watakujuza au muulize Dully alafu Kajala ni famous kabla hajatolewa jela na Wema kumbuka alikua ana date na P Funk way back matamasha yote alikuwepo na alisumbua sana wakati yuko shule ,uliza tu mbilinge zake O'bay moja ya masista ambao walikua fimbo Billz kitambo hiyo alikua anakatiza VIP entrance wakati Billz ndio disco haswaaa nadhani Wema mpaka anakua celeb Kajala kitambo kasumbua kumbuka P Funk akiwa kwenye ubora wake ndio alimzalisha huyu mnyange.
 
Mange alikiwa anajadiliwa sana na ze utamu, ndo nlikomjulia
 
Back
Top Bottom