warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Sio kweli Petit sio Abdul jamani Petit alikuwa ana act kwa jina la Mani na Abdul bado yupo na alishiriki Maisha plus msimu wa 3 kama sikosei alikuwa mshiriki kutoka Mwanza hata mkifatilia mtamuona na alitoka mapema tu akiwa kijijini bila kushinda.
Hayo mambo ya zamani binamu. Nikikuuliza sasa ivi peti anavyojulikana ni kwa sababu ya shughuli gani? Ukinipa jibu itakuwa poa, maana ata Mimi nimemjulia kupitia wema nadhan na wengine pia hvyo hvyo.