Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

Wafanye amendment kwenye Road and Traffic Act waongeze kifungu kinachokataza familia kusafiri pamoja.
Kwa muktadha wa Tanzania Familia kisheria utaijuaje? Wakati unajibu hili uwe umesoma na Katiba na Marriage Act na ujiridhishe kuwa hujavunja haki za watu kutekeleza Hilo la Sheria ya familia kutopanda gari moja wakisafiri
 
Mkuu hapo maslahi makubwa lazima yaangaliwe. Kupoteza familia na baba na mama kwa wakati mmoja ni hatari sana
 
Mkuu umeitendea haki uzi huu,yes Speed kills ILA Kuna sababu nyingi ambazo zinachangia ajali kuliko Speed pekee, iyovi ile pass barabara ni finyu, kona nyingi na Kuna ushenzi wa matuta mengi tu, namba 3 hapo juu ni muhimu, ni LAZIMA kwanza utambue fast na slow corners, breaking point ya kila corner (usiingie kwenye corner na heavy break, uta loose control ya gari),iyovi pass ipanuliwe,ondoa uchafu wa matuta yote, weka alama kubwa na zinazoonekana, all heavy vehicles kuanzia saa 2200hrs ziwe parked
 
Maeneo hatarishi ni kuto ku overtake na kupunguza mwendo, ikiwezekana tembea na 30kmh.
 
Asilimia 99.9991 ya ajali ni uzembe wa madereva.

Asilimia 0.0009 ni uchakavu wa vyombo na ubovu wa barabara.

Sasa mtu ana overtake hajaona mbele kuna nini anatafuta nini?
Yes,observe, observe, observe, na observe, ukiona its safe to overtake kwanza dereva wa mbele ni muhimu atambue uwepo wako ,chagua Gia hasa kwa manual car, indicates,get closer, foot down kwa gas, tumia few secs to overtake, careful na blind spots
 
Kwa muundo wa magari ya kisasa hiyo 80KPH Ni kuchelewesha watu bila sababu. Dawa Ni kupanua barabara 120KPH Kwa public transport.
NB: road fund tunayolipa kwenye kila Lita ya mafuta inafanya nn miaka na miaka?
 
Ni sawa ila kwenye kona kali ni muhimu kupunguza mwendo na kuto overtake
 
Kwanini askari waliokuwa kwenye kizuizi cha Mikumi wasieleze hiyo IT ilipitaje pitaje hapo na abiria wanne?
mmmmm mkuu utakua haupo fair,hii IT imeanzia Dar!,je ni rocket science kujua hao abiria walipandia wapi?,check points ngapi imepitia hadi iyovi pass?,hii IT imepita hadi ile check point matata sana pale sanga sanga!,binafsi yangu kwenye T1, check point ile ni matata sana, na sasa kimezuka kingine pale ipogolo ukishalipita tu lile daraja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…