Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

Asilimia 99.9991 ya ajali ni uzembe wa madereva.

Asilimia 0.0009 ni uchakavu wa vyombo na ubovu wa barabara.

Sasa mtu ana overtake hajaona mbele kuna nini anatafuta nini?
Napingana na wewe

Miundombinu yetu ni mibovu

Barabara finyu, viraka, mashimo, matuta, Giza

Dereva anakuja mwishoni kabisa usingizi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa gari ndogo, kutaka kuyapita magari mengine bila tahadhari, ndipo wakakutana uso kwa uso, ambapo dereva huyo wa gari ndogo ni miongoni mwa waliofariki.
 
December mwaka jana nilipoteza brother wangu katika ajali kama hiyo ya IT mkoani Iringa.

Toka hapo sijawahi shauri mtu kutumia usafiri huo maana si salama japo ni wa haraka.

Pole ziwafikie wafiwa wote.
Kwani hiyo gari ni ya IT!? Mbona iko registered na no za Tanzania!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…