Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.
Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.
Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?