Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Inasaidia nini? Nimeuliza tena.Sikiliza wewe chawa wa CCM. Inasaidia kujua nguvu alizonazo Lissu kisiasa. Nakumbuka kwenye kura za maoni za mitandaoni kati ya Lissu na Mbowe, Lissu aliongoza mitandao yote kwa zaidi ya asilimia 80%, mkasema ni mitandao tu hawezi kumshinda Mbowe. Ila siku ya mwisho kamstaafisha Mbowe siasa na vibaraka wake wa CCM wanakimbia chama kwa aibu. Usidharau mitandao.