Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

inawezekana 80% wameangalia kwa kutumia WiFi za Ofisini kwao. yaani wengi ni walio ajiriwa katika ofisi mablimbali za umma na Binafsi

basi it says a lot kuhusu productivity ya tanzagiza, ambayo ni haipo …
 
Una data zozote utuwekee au kwasababu ulikuwa unaangalia na ba..ha wako ndio wakawa watu wengi?
Screenshot 2025-07-01 at 6.26.06 PM.png


Screenshot 2025-07-01 at 6.25.55 PM.png



Ushahidi huu hapa
 
Kwa hiyo ile hotuba ya samia ambayo ilikuwa jioni ingekuwa na watu wengi kwani ilikuwa ni baada ya kazi

labda hawampendi, isitoshe jioni competitors ni wengi kuna mpira, soga kijiweni jua linakuwa limeshatua hivyo hapo ni lzm mtawagana washabiki tu …
 
Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.

Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.

Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?
Miongoni mwa Wafuatiliaji ni Ikulu
 
Millardi alikuwa na 15K at peak, Mahakama alikuwa na 11K
Chanzo
Zamaradi

Ilizidi 50K kwa hao wote, hivyo kuna watu zaidi ya 150,000 wamekula nondo siku ya leo
 
Watu wanataka Mageuzi - kama hawatayapata ndani ya CCM watayapata popote pale - Mwl Nyerere.

Muda wa mabadiliko ni sasa, siasa za kilaghai za CCM sasa baasii.
TL ni mtu sahihi kuongiza mapambano haya kuelekea kwenye Tanganyika tunayoitaka isiyorugusu Kutekana, Kutishana na kuumizana kisa tu umeisema CCM wasivyotaka.
 
Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.

Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.

Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?
Wewe umejuaje? Ungetuwekea takwimu ingependeza sana!
 
Pichani ni Chifu Hangaya akifuatilia Nondo za Lissu kwa makini
Wanakula Shule Kutoka Kwa Mwamba Akiwa Mahakamani Na Fomusiksi Kali Lenye Ujumbe Pendwa,,,Kasimama,,Nywele Shaghalabaghala Lakini Ndio Wakuu Wameketi Kumsikiliza Kwa Umakini,,,Utadhani Mh Tundu Antipas Lissu Ndio Mkuu Wao...Picha Inazungumza Mengi,,,Atakuja Kuwa Mkuu Zaidi NAAMINI...
 
Una data zozote utuwekee au kwasababu ulikuwa unaangalia na ba..ha wako ndio wakawa watu wengi?
Ni kwa vile uumbaji wa Mungu hatuuhoji, angetupa ruhusa walao dakika mojamoja, nadhani kuna ambao wangemuuliza kwa nini hakukuumba punda utubebee mizigo na wengine ngamia ili Yanga wakupike supu!
 
Ni kwa vile uumbaji wa Mungu hatuuhoji, angetupa ruhusa walao dakika mojamoja, nadhani kuna ambao wangemuuliza kwa nini hakukuumba punda utubebee mizigo na wengine ngamia ili Yanga wakupike supu!
Zaidi ya kuiongezea mzigo Serikali yetu tukufu una mchango gani nchi hii wewe?
 
Sikuhangaika hata kujua Rais anaongea nini.Lakini leo nimeangalia mwanzo mwisho.Nionacho mimi Rais wetu anaconda petty issues.
 
Back
Top Bottom