Tatizo lako ni kutojuwa kujieleza. Vinginevyo inaonyesha data zipo.Millardi alikuwa na 15K at peak, Mahakama alikuwa na 11K
Chanzo
Zamaradi
Ilizidi 50K kwa hao wote, hivyo kuna watu zaidi ya 150,000 wamekula nondo siku ya leo
Unanifahamu hadi uhoji mchango wangu kwa taifa?Zaidi ya kuiongezea mzigo Serikali yetu tukufu una mchango gani nchi hii wewe?
Magu tunamkumbuka kwa mengi. mojawapo ni hili la kutuletea kijiwe cha maccm na kukiita "Bunge"Wale wabunge ni wawakilishi wa CCM na sio wananchi
HAKIKAHuwezi kufuatilia bunge la kijinga kutwa kupongeza badala ya kujadili vitu vya msingi
Nani asikilize mipasho!?Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.
Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.
Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?
hadhi ya ubunge imeshuka kupitia maelezo. hopeless !!!!!!Baada ya kugundua kua bunge n kikao cha chama cha fisiem TU.
KAZI ni kipimo cha utu
Kachukueni Ikulu basiTakwimu ni kwamba Hangaya hana lolote
Tubadilishe title tiseme walofatilia Hotuba ya Rais kuahirisha shughuli za bunge walikua wengi kuliko walofatilia kesi ya Lisu, na penyewe ungeomba Data?Una data zozote utuwekee au kwasababu ulikuwa unaangalia na ba..ha wako ndio wakawa watu wengi?
bora niangalie tundu la choo hata siku nzima kuliko kuyaangalia majangili yale akina ponjoroLazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.
Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.
Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?
Rais mwenyewe na timu yake walikuwa wanafuatiliaLazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.
Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.
Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?
Inasaidia nini?
Kwahiyo siku ya hotuba ya Rais watu walikuwa wanaajira,siku chache baadaye wakati wa kesi ya Lisu watu hawana ajira?ajira, ajira, ajira hakuna, tatizo ndilo hilo, unemployment rate tanzagiza ni >85% , hivyo wana muda mchana wa kuangalia tv …
Inasaidia nini?
kwenye picha unaweza sema watu ndo hawa lakin kiroho aaaah mpak shetan mwenyew anasem hawatambui
au unaweza sema jumba tukufu la kutungia sheria za kuwakandamamiz wananch wanyonge tena nahisi hao sio binadamu watakuw ni allien haoMagu tunamkumbuka kwa mengi. mojawapo ni hili la kutuletea kijiwe cha maccm na kukiita "Bunge"