Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

Hakuna mwanasiasa mwenye mvuto na aliyebeba matumaini ya wananchi hapa Tanzania kwa sasa kama Tundu Lissu.

Mtu anayeweza kumkaribia kidogo ni Gwajima.
​
 
Bunge lipi ndugu yangu, hili hili la Tulia?? Hebu fikiria Wabunge wenye kadi za CCM na Spika anafahamu lkn ajabu anasema ni wa viti Maalum kwa tiketi ya CDM. Bulaya kdhihirisha hilo.

Sasa utawafuatilia kweli?? Upuuzi mtupu.
 
Siku hizi hata taarifa za habari zimepoteza mvuto, labda za nje ya nchi
 
Unanifahamu hadi uhoji mchango wangu kwa taifa?
For your information I'm retired from hiyo government hivyo pengine wewe ni mmoja wa walionufaika na huduma nilizotoa kwa Watanzania. Shida ni kuwa nilikataa kutumika kama Chawa tokea enzi za marehemu mzee Mwinyi.
Hivyo utakuwa umenielewa kama unatumia 🧠
Ahahahahaha! Nimekugusa kwenye mshono ndio maana umekuja umepaniki! Huna mchango wowote nchi hii. Na kama umestaafu, basi umestaafu na stress za maisha kwa kutojipanga. Watu kama ninyi huwa na hasira sana na Serikali nyie wenyewe mkijiita sio chawa! Ahahahahaha!

Wape somo wanao wasije wakawa kama wewe. Si unajua ile "Like father, like son"! Ahahahahaha!!!
 
Unanifahamu hadi uhoji mchango wangu kwa taifa?
For your information I'm retired from hiyo government hivyo pengine wewe ni mmoja wa walionufaika na huduma nilizotoa kwa Watanzania. Shida ni kuwa nilikataa kutumika kama Chawa tokea enzi za marehemu mzee Mwinyi.
Hivyo utakuwa umenielewa kama unatumia
 
Tubadilishe title tiseme walofatilia Hotuba ya Rais kuahirisha shughuli za bunge walikua wengi kuliko walofatilia kesi ya Lisu, na penyewe ungeomba Data?
Mimi ni msomi ninayeamini kwenye references on whatever claim raised.
 
Mpaka huko chamwino sijui magogoni.View attachment 3390435

Wamejishika videvu vyao wakitafakari michezo yao michafu inavyo waumbua watawala wa serikali ya chama dola kongwe

TOKA MAKTABA :

Mimi ni rais bora kuliko wengine

1751389021034.jpeg
 
Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.

Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.

Nini tatizo hapo hadi umakini wa watuunahamia kwenye kesi kuliko mheshimiwa #1 akijinadi maendeleo yake ikiwemo kukuza miundo mbinu, kukuza deni la taifa, kukuza idadi ya wanachama wa CCM nk?
Porojo za mitandaoni kura wanapiga wamama.
 
Sera ya maudhui na faragha inakataza kuangalia Bunge hasa ukiwa na watoto wadogo karibu .

Bungeni


Kuna wakati wanapimana ushoga

Mkono Sweta


Nakufukuzana Kwa kuvaa guo za kubana
 
Back
Top Bottom