Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mbunge Viti Maalum Chadema achaguliwa kuwa Mwenyekiti - Mbunge wa Viti Maalum (C ( 572 X 640 ).jpg

Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )

Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.

Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
 
Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
Ndivyo Jiwe alivyotaka Bunge hili liwe hivyo.

La kijani kitupu na anachotaka yeye asihojiwe chochote kwa madudu anayofanya, ndiyo maana hivi sasa amekigeuza kijiji chake cha Chato kama Ikulu ndogo!

Hakuna mtu anayehoji maamuzi ya "kipuuzi" ya dizaini hiyo na ukihoji unatumbuliwa!
 
Tafuta akili maana huna, nani kakwambia wabunge wa viti maalum wanasababisha chama kipate ruzuku?
Kwakweli sina kabisa akili na wala hujakosea ndugu yangu katika hili.
Haya basi nielekeze wewe mfumo mzima wa Ruzuku ukoje na sheria husika.
Ukinielekeza mfumo mizma ukoje na sheria zinazosimamia hili suala utakuwa umenisaidia mno.
 
Limekaa utadhani gulio la washenzi.
Lakini ipo siku tutakuja kusema kumbe kwenye gulio la washenzi ndipo wenye mizaha utumia fursa hiyo kuonesha uwezo na vipaji vyao kuijenga nchi.
Ingawa mizaha kuna wakati inaweza kuondoa malengo na matarajio ya wengi kama kweli gulio litajwalo lina washenzi wenye uchu/matamanio yenye mlengo wa kuwajali wachache na kujinufaisha wenyewe.
Hii ni fursa kwa chama husika kujifunza namna ya kuendana na mabadiliko yenye sura ya Utaifa,ni wajibu wao pia kutafuta maridhiano ndani ya chama kama yapo na kuadhimia namna bora ya kutatua kasoro zilizopo.
 
Ila ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua ???
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.
Ni swali zuri sana.

Pili, wanaenda Bungeni kwa kutumia chama gani? Kama wanatumia CDM, kuna kila sababu ya kufungua kesi ya kupinga matumizi ya jina lao. Wanaweza kuitwa Wabunge wa Spika , pindi wakiitwa Chadema kuna tatizo

Tatu, hivi hapa hakuna ukikwaji wa katiba? Wako wapi wanasheria au taasisi zinazosimamia mambo haya?
Hivi haiwezekani kufungua kesi

JokaKuu tindo
 
Ndivyo Jiwe alivyotaka Bunge hili liwe hivyo.............

La kijani kitupu na anachotaka yeye asihojiwe chochote kwa madudu anayofanya, ndiyo maana hivi sasa amekigeuza kijiji chake cha Chato kama Ikulu ndogo!

Hakuna mtu anayehoji maamuzi ya "kipuuzi" ya dizaini hiyo na ukihoji unatumbuliwa!
Sitashangaa akianza ujenzi wa choo cha taifa pale Shato
 
View attachment 1680489

Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )

Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.

Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Maisha ni kuchagua na aina ya chaguzi kuna zile zinagharimu na zile ambazo zitakutafuna tu hata kama maisha ni matamu vipi
 
Siasa ni fursa,hao wameangalia matumbo
Tutaishiji

Ova
 
Back
Top Bottom