Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Matokeo ya Uchaguzi wa Oktoba 2020 unasababisha Ruzuku hiyo, Hoja kwa nini Ruzuku ni halali harafu matokeo na kazi za Uchaguzi wa Oktoba 2020 ni Haramu?! Ninaomba ufafanuzi.Tafuta akili maana huna, nani kakwambia wabunge wa viti maalum wanasababisha chama kipate ruzuku?