Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

Kura za Lisu
Ewaaah mkuu umenielewesha vyema kabisa mimi nisiyefahamu, ruzuku inatokana na kura za raisi na wabunge.
Sasa kama uchaguzi haukuwa huru na haki kwanini chama kichukue ruzuku ya uchaguzi batili ???
 
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )

Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.

Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Ni wivu tu
 
Hii ni mada nyingine tupe muda tutaifungulia uzi wake
Dada kamanda, sisi wengine tunawakubali sana CHADEMA na tunapenda mabadiliko,
Lakini kuna maswali muhimu kuhusu mwenendo wenu ambayo tungependa majibu.
Hivyo nasubiri kwa hamu sana siku ambayo utaanzishia mada hili swali.
 
Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
2667294_Screenshot_20210115-072105_Chrome.jpg
 
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )

Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.

Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Huyo Ni mwanasiasa aliyekomaa hasa kwa Siasa za Tanzania. Muacheni ale matunda ya kazi ya mikono yake.

"Hakuna mabadiriko nje ya CCM"
CCM OYEEEE!!!!
 
Akili za kushikiwa hizi unahoji kuhusu peanut 1.4 billion wakati huo huo 1.5 trillions zilizokwapuliwa hazina fiscal year 2016/2017 na 1.2 trillions zilizokwapuliwa fiscal year 2017/2018 na huyo anayejiita mwendawazimu kugomea uchunguzi huru unakaa kimya! Kweli upumbavu ni mzigo mkubwa. Zote hizo 2.7 trillions zimeripotiwa kwenye ripoti za CAGs Assad na Kichere.
 
Huko hazina kwani hawajui kwamba chadema iliyakataa matokeo ya uchaguzi? Kama ni hivyo kwanini watoe ruzuku kwa chama ambacho kimekataa matokeo kama si ubadhirifu wa pesa za walipa kodi?
Ewaaah mkuu umenielewesha vyema kabisa mimi nisiyefahamu, ruzuku inatokana na kura za raisi na wabunge.
Sasa kama uchaguzi haukuwa huru na haki kwanini chama kichukue ruzuku ya uchaguzi batili ???
 
Pesa za walipa kodi zinafujwa tu kutumia billions kununua wanasiasa malaya na matumizi mengine ya kipuuzi kama magari ya kifahari etc.
Dada kamanda, sisi wengine tunawakubali sana CHADEMA na tunapenda mabadiliko,
Lakini kuna maswali muhimu kuhusu mwenendo wenu ambayo tungependa majibu.
Hivyo nasubiri kwa hamu sana siku ambayo utaanzishia mada hili swali.
 
Hujui kama kuna $3 trillions toka UN na pesa nyingi nyingine toka nchi za Wafadhili ambazo nchi inaweza kuzikosa kwa kuwa baadhi ya kamati haziongozwi na Wabunge wa upinzani? Pia pressure kubwa kwa nchi wafadhili kuweka economic sanctions kufuatia huo uchaguzi UCHWARA!?
Sababu kubwa ni ipi mama yangu, hebu nijuze!
 
Chadema rudisheni ruzuku au mhalalishe hao mliowafukuza.
 
Huko hazina kwani hawajui kwamba chadema iliyakataa matokeo ya uchaguzi? Kama ni hivyo kwanini watoe ruzuku kwa chama ambacho kimekataa matokeo kama si ubadhirifu wa pesa za walipa kodi?
Jibu ni rahisi sana, Kuhalalisha uharamia wao waliofanya kwenye uchaguzi. Lakini sasa swali ambalo mimi nataka jawabu lake ni hili: Kwanini CHADEMA ikubali kuwa sehemu ya huu uharamia ??? Kama umekataa kuishi kwenye nyumba ya mfalme, basi kataa hata divai yake. Au unasemaje kamanda ???
Pesa za walipa kodi zinafujwa tu kutumia billions kununua wanasiasa malaya na matumizi mengine ya kipuuzi kama magari ya kifahari etc.
Ni kweli pesa zinafujwa sana, siyo tu kununua malaya wa kisiasa bali hata kununua uhalali wa Uchaguzi, kupitia mikakati ya serikali za umoja na ruzuku. Haya mambo ukiyafikiria yanasikitisha sana mkuu BAK.
 
Sababu kubwa ya kupata Ruzuku ni wingi wa idadi ya kura za urais walizopata Chadema wala siyo wabunge. Ndiyo maana hata NCCR MAGEUZI kapewa ruzuku wakati hata mbuge mmoja hana.Hata hao wabunge 19 walioasi chadema wamepatika kupitia wingi wa kura za urais. Kwa hiyo hata kama Chadema haitakuwa na Mbunge ruzuku watapata tu kutokana na wingi wa kura za urais walizopata hata wakawa nafasi ya pili baada ya CCM
Sababu kubwa ni ipi mama yangu, hebu nijuze!
 
Nitaweka pressure kubwa hizo pesa zirudishwe haraka sana. Ukitaka kuwa msafi mbele ya jamii kwa kukataa uchaguzi haramu hivyo hivyo pesa haramu ikataliwe.
Jibu ni rahisi sana, Kuhalalisha uharamia wao waliofanya kwenye uchaguzi. Lakini sasa swali ambalo mimi nataka jawabu lake ni hili: Kwanini CHADEMA ikubali kuwa sehemu ya huu uharamia ??? Kama umekataa kuishi kwenye nyumba ya mfalme, basi kataa hata divai yake. Au unasemaje kamanda ???

Ni kweli pesa zinafujwa sana, siyo tu kununua malaya wa kisiasa bali hata kununua uhalali wa Uchaguzi, kupitia mikakati ya serikali za umoja na ruzuku. Haya mambo ukiyafikiria yanasikitisha sana mkuu BAK.
 
Hujui kama kuna $3 trillions toka UN na pesa nyingi nyingine toka nchi za Wafadhili ambazo nchi inaweza kuzikosa kwa kuwa baadhi ya kamati haziongozwi na Wabunge wa upinzani? Pia pressure kubwa kwa nchi wafadhili kuweka economic sanctions kufuatia huo uchaguzi UCHWARA!?
Duuh (Dola za Kimarekani )$3 Trillion za Kimarekani ni sawa na TZS Trillion 8000 hivi za Kitanzania.
Umoja wa Mataifa walitupatia lini haya mapesa kamanda BAK ???
Hebu pitia tena hizo takwimu zako mkuu.
 
Nitaweka pressure kubwa hizo pesa zirudishwe haraka sana. Ukitaka kuwa msafi mbele ya jamii kwa kukataa uchaguzi haramu hivyo hivyo pesa haramu ikataliwe.
Chadema wao walishakataa, ila wanalazimishwa tu.Ruzuku ni takwa la Katiba,inasema zitapewa kwa chama kuligana na % za kura za urais kwa hiyo serikali lazima izitoe ili kuharalisha uchaguzi na siyo chadema
 
Back
Top Bottom