Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

Nitaweka pressure kubwa hizo pesa zirudishwe haraka sana. Ukitaka kuwa msafi mbele ya jamii kwa kukataa uchaguzi haramu hivyo hivyo pesa haramu ikataliwe.
Naam kamanda, hupokea ruzuku ni kuhalalisha uharamia wa Chama Cha Mapinduzi.
Shawishi makanda wagome na wazirudishe haraka sana, Aluta Continua.
Dada Erythrocyte umesikia kamanda BAK anasema rudisheni ruzuku.
 
Sababu kubwa ya kupata Ruzuku ni wingi wa idadi ya kura za urais walizopata Chadema wala siyo wabunge. Ndiyo maana hata NCCR MAGEUZI kapewa ruzuku wakati hata mbuge mmoja hana.Hata hao wabunge 19 walioasi chadema wamepatika kupitia wingi wa kura za urais. Kwa hiyo hata kama Chadema haitakuwa na Mbunge ruzuku watapata tu kutokana na wingi wa kura za urais walizopata hata wakawa nafasi ya pili baada ya CCM
Nashukuru sana mkuu, kwahiyo ubunge na ruzuku vyote vimepatikana kutokana na kura za Lissu !!!!
Sasa kwanini waasi (Covid-19) wakataliwe kuingia bungeni wakati CHADEMA imechukua ruzuku ?
What's good for the goose, is also good for the gander.
 
Hiyo pesa inatolewa kwa miaka mitano kama sikosei hadi uchaguzi mwingine. Unadhani kwanini maccm yalihangaika hadi kufoji signature ya Mnyika ili kuwaingiza COVID-19 Bungeni!?
Duuh (Dola za Kimarekani )$3 Trillion za Kimarekani ni sawa na TZS Trillion 8000 hivi za Kitanzania.
Umoja wa Mataifa walitupatia lini haya mapesa kamanda BAK ???
Hebu pitia tena hizo takwimu zako mkuu.
 
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )

Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.

Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Bado bi kidude na mke wake
 
Hiyo pesa inatolewa kwa miaka mitano kama sikosei hadi uchaguzi mwingine. Unadhani kwanini maccm yalihangaika hadi kufoji signature ya Mnyika ili kuwaingiza COVID-19 Bungeni!?
Mkuu labda ni $ 3 Billion na siyo Trillioni.
 
Naam kamanda, hupokea ruzuku ni kuhalalisha uharamia wa Chama Cha Mapinduzi.
Shawishi makanda wagome na wazirudishe haraka sana, Aluta Continua.
Dada Erythrocyte umesikia kamanda BAK anasema rudisheni ruzuku.

..Ni serikali imewalipa, wakati Cdm wamesema hawayatambui matokeo.

..sasa kwanini serikali inakilipa chama ambacho kimetoa matamko kwamba hakitambui matokeo?

..Serikali izichukue fedha hizo kwa mtindo uleule ilioutumia kuwalipa Cdm.

..pia Mbowe ktk hotuba yake amedai kuna jinai imetokea ktk suala la wabunge wanawake wa Cdm walioapishwa na Spika.

..Tanzania ingekuwa na watu makini wangechunguza ni nani aliidhinisha wabunge wale kwenda bungeni. hakuna kikao cha Cdm kilichoitishwa na kukaa kuthibitisha majina ya wabunge wanawake.

..Tunajenga tabaka la watu ambao wako juu ya sheria na itakuja kutugharimu mbele ya safari.
 
Kwakweli sina kabisa akili na wala hujakosea ndugu yangu katika hili.
Haya basi nielekeze wewe mfumo mzima wa Ruzuku ukoje na sheria husika.
Ukinielekeza mfumo mizma ukoje na sheria zinazosimamia hili suala utakuwa umenisaidia mno.
Akikutajia utaratibu uni tag. Hapo nyumbu atakuja na matusi Wala siyo majibu.
 
..Ni serikali imewalipa, wakati Cdm wamesema hawayatambui matokeo.

..sasa kwanini serikali inakilipa chama ambacho kimetoa matamko kwamba hakitambui matokeo?

..Serikali izichukue fedha hizo kwa mtindo uleule ilioutumia kuwalipa Cdm.

..pia Mbowe ktk hotuba yake amedai kuna jinai imetokea ktk suala la wabunge wanawake wa Cdm walioapishwa na Spika.

..Tanzania ingekuwa na watu makini wangechunguza ni nani aliidhinisha wabunge wale kwenda bungeni. hakuna kikao cha Cdm kilichoitishwa na kukaa kuthibitisha majina ya wabunge wanawake.

..Tunajenga tabaka la watu ambao wako juu ya sheria na itakuja kutugharimu mbele ya safari.
Uko sahihi kabisa mkuu,
Kwanini serikali itoea ruzuku kwa chama ambacho hakiyatambui matokeo.
Jibu ni rahisi tu: Kuhalalisha uharamia wake iliyowafanyia watanzania mwaka jana.

Tatizo langu kubwa ni kwanini CHADEMA wapokee ruzuku ilhali wakijua ni pato la aibu ???
Ukikataa kuishi kwenye kasri la mfalme, basi kataa hata kunywa mvinyo utokao mezani kwake.

Suala la uvunjifu wa katiba kuhusu uteuzi wa viti maalumu liko wazi kabisa na lina hatari sana huko mbeleni,
Lakini pia kama CHADEMA watakubali ruzuku na kuhalalisha uharamia wa CCM wao pia watapoteza uhalali kisiasa.
Raia tuwaaminije tena na Moral Authority ya kuwakana na kuwakemea wale wabunge waasi wataitoa wapi kwenye hali kama hii ???
 
Kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu,pambana na hali yako,si umemuona Maalimu halafu huo usaliti mbona haupo kwenye ruzuku anayochukua Mbowe?basi kataeni na ruzuku ndio tuwaone wa maana.
Mkuu hueleweki kama unalia au unalalamika
 
Uko sahihi kabisa mkuu,
Kwanini serikali itoea ruzuku kwa chama ambacho hakiyatambui matokeo.
Jibu ni rahisi tu: Kuhalalisha uharamia wake iliyowafanyia watanzania mwaka jana.

Tatizo langu kubwa ni kwanini CHADEMA wapokee ruzuku ilhali wakijua ni pato la aibu ???
Ukikataa kuishi kwenye kasri la mfalme, basi kataa hata kunywa mvinyo utokao mezani kwake.

Suala la uvunjifu wa katiba kuhusu uteuzi wa viti maalumu liko wazi kabisa na lina hatari sana huko mbeleni,
Lakini pia kama CHADEMA watakubali ruzuku na kuhalalisha uharamia wa CCM wao pia watapoteza uhalali kisiasa.

..hoja zako zinafikirisha.

..tatizo ni kwamba cdm hawakutuma maombi wapewe ruzuku.

..pia hatuna uthibitisho wowote kwamba cdm wametumia fedha za ruzuku.

..mwisho, ccm wamepoke mabilioni ya fedha za ruzuku wakati kuna crisis ya wanafunzi kukosa madawati.

..tunajisifia kununua ndege wakati hatuna madawati, na wanaotuuzia ndege wanafunzi wao wanasoma kwenye madarasa yenye viyoyozi.
 
Back
Top Bottom