Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Limekaa utadhani gulio la washenzi.Bunge la Safar hii ni zaidi ya Choo cha stendi
Tafuta akili maana huna, nani kakwambia wabunge wa viti maalum wanasababisha chama kipate ruzuku?Ila ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua ???
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.
Choo cha stand kisafiBunge la Safar hii ni zaidi ya Choo cha stendi
Ndivyo Jiwe alivyotaka Bunge hili liwe hivyo.Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
Kwakweli sina kabisa akili na wala hujakosea ndugu yangu katika hili.Tafuta akili maana huna, nani kakwambia wabunge wa viti maalum wanasababisha chama kipate ruzuku?
Lakini ipo siku tutakuja kusema kumbe kwenye gulio la washenzi ndipo wenye mizaha utumia fursa hiyo kuonesha uwezo na vipaji vyao kuijenga nchi.Limekaa utadhani gulio la washenzi.
Ni swali zuri sana.Ila ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua ???
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.
Sitashangaa akianza ujenzi wa choo cha taifa pale ShatoNdivyo Jiwe alivyotaka Bunge hili liwe hivyo.............
La kijani kitupu na anachotaka yeye asihojiwe chochote kwa madudu anayofanya, ndiyo maana hivi sasa amekigeuza kijiji chake cha Chato kama Ikulu ndogo!
Hakuna mtu anayehoji maamuzi ya "kipuuzi" ya dizaini hiyo na ukihoji unatumbuliwa!
Maisha ni kuchagua na aina ya chaguzi kuna zile zinagharimu na zile ambazo zitakutafuna tu hata kama maisha ni matamu vipiView attachment 1680489
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Ruzuku ni halali yao hawa wawe wabunge ama wasiwe wabungeIla ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua ???
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.