FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Nadhani hili lipo wazi na Chadema wanalijua kwa kuwa serikali sasa imeshazoea kuvunja taratibu na imemeza mihimili yote muhimu.Sasa wakisamehewa inakuwaje ?Wameshaapishwa hivyo wataendelea kuwa wabunge ?
Yes watakuwa wabunge but without their party.
Swali libaki kwao tu is it worth it? They were free birds na sasa wataishi kwa huruma za jiwe