Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Sasa wakisamehewa inakuwaje ?Wameshaapishwa hivyo wataendelea kuwa wabunge ?
Nadhani hili lipo wazi na Chadema wanalijua kwa kuwa serikali sasa imeshazoea kuvunja taratibu na imemeza mihimili yote muhimu.
Yes watakuwa wabunge but without their party.
Swali libaki kwao tu is it worth it? They were free birds na sasa wataishi kwa huruma za jiwe
 
Bwana Halima Mdee na girlfriend wake Bulaya wajipange muda mwingine watumie akili zao na sio njaa
 
Sasa kama hao covid 19 wakiomba msamaha na kuendelea na ubunge hili itakuwaje
 
Huwa nikianza kusoma comment then nione Rebeca umecomment huwa nafurahi sana, ila leo umevuruga kabsa kwa comment kama hii.

Au kuna mtu amehack account yako? Kwann usitoe taarfa kwa uongozi wa JF? Umekubali mtu aandike rubbish comment kama hii?
Daah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeshini Wanasema Baba Yameanza Kufarakana Yenyewe Kwa Yenyewe!!!😁😂🤣😅😄😃😂🤣🤣
Wakaote Moto Na Waliokata Nao Kuni Huko Huko
 
Udikiteta na wizi ulaghai ndio ukomavu
 
Naomba "amen" kubwa hapo!
Kwa lugha ya kibiblia na 'iwe hivyo'
 
Kazi ya shetani ni kupotosha na kuongea uongo, Mr. Halima Mdee Ni gwiji wa uongo
Zile buku buku zetu tulizochanga na kuwatoa gerezani zitawasuta nafsi zao hadi siku wannaingia kaburini. Hawana tofauti na Gwaji Boy aliyetelekeza Madhabahu na kwenda kufungua Pub. Eti anapanua huduma! Siku chache zijazo mtapata majibu.
 
Rebeca,
Looks like you're part of Covid-19......!
You can't be a strong woman by violating Laws of the land.
What do you mean by saying...."Halima do your thing...."? Mebbe to be fuc**d by CCM hooligans......!!!Nonsense.
 
Hii karata hata CCM hawaelewi waipindue vipi ionekane haina kona kona mingi
Yaani hamna akili nyie viumbe. Vikundi vyenu havitakuja kupata dhamana ya kutawala milele. Mnatukana CCM na kuidharau badala ya kujikita kwenye mambo yenu, hivi CCM kwa akili yako ndiyo imepeleka hayo majina???? Yaani kama vetting mmefeli vibaya sana, you’ll never be trusted again.
 
Rebeca,
Looks like you're part of Covid-19......!
You can't be a strong woman by violating Laws of the land.
What do you mean by saying...."Halima do your thing...."? Mebbe to be fuc**d by CCM hooligans......!!!Nonsense.
Halafu msivyokuwa na adabu how can you compare your fellow human with covid 19?
 
Sikutegemea haya kutoka kwa Halima, sometime naona kama sio kweli, nani kampotosha Halima kufanya ujinga huu?

Awamu ya tano itakumbukwa na vizazi vyote kwa kuvuruga demokrasia, kuvunja katiba, kuminya haki, kupindisha sheria za nchi, inshort itakumbukwa kwa mabaya tu, muda utaeleza
 
Kwa kifupi Chadema ndiyo wanaendesha nchi na wafadhili wanawaelewa sana maana wamekataa kuitambua hii serikali.
Chadema hamuishi vituko. Anyway mtaendelea kupoteza chaguzi kwa kukosa maarifa na nchi itasonga chini ya chama makini ccm
 
Kawaida ya wabongo Kwa maslahi ni muhimu kiliko kitu kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…