Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Hii karata hata CCM hawaelewi waipindue vipi ionekane haina kona kona mingi

Kwa nini ccm inawapa Chadema Kiki kila siku? Ni wakati wa ccm kushika kalamu na karatasi ku analyse kila maamuzi toward chadema na ku crest different theories and possible solution!

Chadema ilitoweka kwenye masikio ya wa Tanzania, haya ccm imewarudisha mpaka tunawaonea huruma tena, kweli shetani ni Mtumishi wa Mungu wakati Mwingine aisee!
 
Awamu hii kila upuuzi unakubalika lakini taratibu na sheria zingekuwa zinafuatwa, options zote mbili hazingewasaidia kwa sababu:
1. Viti 19 maalumu vya Bunge ni vya CHADEMA kisheria na vitajazwa na CHADEMA.
2. Hata wakijiunga na CCM nafasi za viti maalumu vya CCM vitakuwa vimekwisha jazwa na vile vya Rais, siyo vya Mwenyekiti, ni 10 tu labda anaweza akapata mmoja tu siyo wote 10. Covid-19 waache kiburi warudi CHADEMA!
 
Nawe hapa unajisikia umeandika bonge la fikra, huku ukizungusha maneno tu yasiyokuwa na muungano wowote? Unaijua "catch-22 situation" ina maana gani?
"A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond"? 'A political loss'?

Hivi nyinyi watu mnaokotwa toka jalala gani siku hizi! Mpo hapa JF kuweka uchafu kila kwenye mjadala unaowekwa!
 
Hizo siku 30 walizopewa ni kwa mujibu wa katiba ya chadema, kama ujaridhika ma maamuzi ya kamati kuu unakata rufaa ktk mkutano mkuu, uko ndio utaenda jieleza kwa wajumbe
 
Vita bandia vya kumshukuru Mbowe kama kichaka cha kutokutimuliwa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
I second you....
 
Mkuu 'Rebeca 83' please. Not from you!
 
KAMA TIIII KUUU GANI ILIYOWAITA?? KULIKUA NA USALAMA GANI NAWAKATI UFIPANI KULIKUWA NA MAKUNDI MAKUBWA YA WANDAMANAJI WALIOSHIKIRIA MABANGO YENYE MATUSI YA KUWAITA ETI WAO NI COVID 19. MBOWE KAMA ANASEMA MAZINGIRA YALIKUWA SALAMAA, ALIPASWA AWATIMUE WALE WANDAMANAJI WENYE HASIRA KALI MAENEO YA UKUMBI WA KIKAO. MBOWE MNYIKA NA VIONGOZI WOTE WALIKUWA WAMEPANIKI, SASA UNGEFIKILIA NINIKINGEFANYIKA ZAIDI YA KUAMUASHA UGOMVI? NDIOMAAANA WADADA WALE KWA HEKIMA ZAO ZA JUUU BAADA YA KUONA MAZINGIRA HAYO WALIANDIKA BARUA ZA KUOMBA WAJE BAADA YA WIKI MOJA WAKIZINGATIA KUPUNGUA KWA JAZIBA ZA VIONGOZI NA MAKUNDI YA WANDAMANAJI YALIYOKUWA INJE YA OFISI NA MATUSI YA KUWAITA WAO NI GONJWA BAYA COVID19. ALIYEGOMA HATUMI UJUMBE WA BARUA. HIVYO VIONGOZI WALIPASWAKUHESHIMU MAPENDEKEZO YAO, WALA KUSINGEKUWEPO NA MAAMUZI YA KIMUHEMUKO KAMA YALE. MAANA YAKE MAAMUZI YA KUWATIMUA NIBATIRI KWA MUUJIBU WA KATIBA YAO KWANI WALENGWA HAWAKUWEPO NA UDHURU WALITOA KWA MAANDISHI NA BARUA ZIKAPOKELEWA NA KUSOMWA MBELE YA WAJUMBEE. KWAHIYO KUNA SHIDA HAPOO.
 
Hawajakomaa kwenye sanaa ya siasa kwa sababu Hawaimiliki tume ya uchaguzi? Polisi, TISS, jeshi, media?
Wanaojua sanaa kwa nini wanavunja katiba sheria na kanuni kupata ushindi?

Wenye akili kama Pius Msekwa, mabeberu wameona hili ila idiots hawajaona.

Unajua maana ya idiot?
KNOWING the TRUTH
SEEING the TRUTH
And STILL believing that LIES
 
Umeandika ujinga.

Kikubwa ambacho CCM wanavizidi vyama vyote ni ushetani. Ndani ya CCM kuna kila aina ya uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni mchezo mchafu sana, usije shangaa siku ukisikia Tundu Lisu amehamia CCM na akalamba Uwaziri
 
Reactions: SMU

Eti maandamano halafu polisi walikuwa wapi? Why mnawashwa na ya cdm Hali amtaki waingie bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…