Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Wewe kama huijui Jf kaa kimya usijipake aibu kwa kitu usichokijua. Humu kuna watu wa kada zote na wengine huwezi amini wana mamlaka makubwa nchini. Kwa kujua hilo ndo maana Wakubwa wanahangaika na Jf kwani wanajua Impact yake kwa jamii. Wao sio wajinga wahangaike kufuatilia kitu kisicho na Impact yoyote. Mambo mengi yanayoumiza wakubwa vichwa aidha yameanzia Jf au yamepata msukumo Wa Jf. Hii siyo ya kudharau, hata hao waliokutuma upost kipost chako humu wanakushangaa unapoidharau Jf eti ina percent 0.0.......!!!!??? Aibu yako, hata wewe??

Wewe umejiunga last year unaniambia veteran siijui JF? Unachekesha kweli, hamna effect humu, ni tone baharini, toka lini wa tz wakapenda kusoma kuzidi kutazama picha. Instagram imekuja nyuma ya JF lkn ina members kibao kushinda waliopo JF, humu wamo mtu finyu sana, ndio maana ninakwambia usipate orgasm sana na yanoendelea humu, fuatilia chaguzi zote zilizopita makelele ya humu na matokeo ardhini.
 
Ukimaliza na hao usisahau na kuwaita wale waliokuwepo wakati Zee lako linajinyea!
fanya dhihaka yoyote lakini sio kwenye ugonjwa bro au ukumbuki waliyosema huyo mgonjwa muda wowote anakufa wapo wapi leo?tubu kwa mungu wako
 
Kwa hiyo unanitisha au?
nnakuambia tu mkuu kukumbushana usifanye dhihaka kwenye ugonjwa ww leo mzima haujui kesho yako na sio lazima ufanye nilivyokwambia unaweza ukaendelea kutukan.
 
nnakuambia tu mkuu kukumbushana usifanye dhihaka kwenye ugonjwa ww leo mzima haujui kesho yako na sio lazima ufanye nilivyokwambia unaweza ukaendelea kutukan.

Hata wewe pia haujui kesho yako!
 
ni kweli sijui kesho yangu ndio maana siwezi kutoa kauli km yako hila mimi nimekukumbusha tu km nimekosea kukwambia nisamehe.

Unanikumbusha wewe kama nani? Nimekusamehe na usirudie tena!
 
Unanikumbusha wewe kama nani? Nimekusamehe na usirudie tena!
ukikosea lazima uambiwe ni hiari yako kusikiliza ulichoambiwa au uendelee unachofanya km ww umechagua kuendelea endelea kutukana hih
 
ukikosea lazima uambiwe ni hiari yako kusikiliza ulichoambiwa au uendelee unachofanya km ww umechagua kuendelea endelea kutukana hih

Sasa kwa nini uliniomba msamaha kama ulikuwa na nia ya kundeleza malumbano?
 
Sasa kwa nini uliniomba msamaha kama ulikuwa na nia ya kundeleza malumbano?
nilishakuona kichwa kibovu na siku zote mjinga mpe cheo nikakuomba msamaha ukafurahi bichwa hilo pumba tupu.
 
Phd ya makarabrasha kaipata juzi juzi tu hapa
Ko whats your conclusion
Kuwa alifukuzwa au???

Ni jambo la kutumia akili, angekuwa anaskendo lingekuwa lishajulikana af shule za serikali ukihajiliwa kuacha labda uache mwenyewe au wizara ikufukuze
 
Tumetoboa wengi tu . Kuhusu Mwl kipindi hicho hakuwa na maneno mengi ukizingatia alikuwa kijana mdogo , kiasi kama rika zetu. Nakumbuka headmaster alikuwa Mwl Marwa ,Mwl Mikenze(kilimo), Mwl Elifuraha, Mwl Masumbuko (michezo), Mwl Onyango (Geography), Mrs Kaijunga

Sesesco ni shule nzuri iliyojengwa kwa msaada wa Cuba na kipindi hicho alikuwa haikosi 10 bora
 
Back
Top Bottom