Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Vitu vingi vina expiration date. LAKINI Hesabu haina!
 
huyu jamaa anaitazama hii Dunia Kwa jicho la kawaida sana mkuu hajui hizi gunduzi zote anazoziona formula zake zilikwepo Toka kitambo tu
Vitu anavyoviona Leo vya kiteknolojia na gunduzi
Leonardo Da Vinci alishaviwekea formula kitambo miaka ya 1400's huko wanasayansi wa Sasa wanazidi vifanyia vitendo kadri muda unapokwenda maana jamaa aliviweka Kwa code ngumu sana Hivyo kadri wanapomaliza kimoja idea ya kingine inakuja
Chanzo Cha yote ni ujuzi uliobebwa kwenye document za wamisri wa kale
Hata Hittler alizipata Hizo document na akawa anamtumia Binti mmoja nimesahau Jina lake huyu Alikua na uwezo wa ajabu anapandisha mzuka na kufungua zile code zikamwezesha kutengeneza siraha hatari za maangamizi na inasemekana aliweza mpaka kuunda vifaa
vyenye spidi Kali Kama vile
vinavyodaiwa kutumiwa na Allien yaani UFO's
Baada ya Hittler kushindwa Ile vita Marekani ilizibeba zile document na wanasayansi wa kijerumani na kwenda nao huko ambako waliendeleza kazi Yao

Chanzo Cha yote ni Hizo formula za wamisri jamaa anaonipinga kwamba Mimi ni mjinga bila yeye kujua kwamba akiona Kobe juu ya mti ujue kapandishwa!
 
Basi tuseme redio na pyramid upi ni ugunduzi mkubwa?
Kumpyuta ndege ni vizazi vya sasa waliogundua wakati pyramidi ni watu wa jsle zaidi ta miaja 5000. watu wa kale.
Yani ugunduzi wa ndege na vyombo vya moto ulivyokomboa jamii ndio nilinganishe na upuuzi pyramid wa kutukuza mafaraoh tu pasi na faida yoyote kwa jamii.
 
Chanzo cha taarifa mkuu.
Mabadiriko mengi yamefanyika kopindi cha industrial revolution
Kama hao wa misri wana hizo document mbona hawana teknolojia yoyote ya kisasa, hadi silaha wananunua marekani.
Acha hadithi mkuu, kizazi cha sasa kinafanya maajabu yatakayokumbukwa milele,misri ni hadithi za pyramid tu hakuna kingine cha maana.
 
unajua maana ya Accient Civilization ndugu tuanzie hapo kwanza,Kama hujui basi nafunga mjadala siwezi bishana na mtu Kama wewe!
 
Bado mdogo Sana Kwenye masuala Kama haya Kama Vipi tujadili kuhusu ukubwa wa makalio ya wanawake hiki tunachojadili kipo juu ya uwezo wako kubali tu.
Hahahaaaha yaani ndege na magari unaona Ndio gunduzi kuuubwaa mpaka kuwaona wamisri wa kale walikua kawaida tu kisa Hivi vya Sasa havikuwepo enzi Hizo aiseee narudia Kama hujui maana ya Accient Civilization Kaa Kwa kutulia tujadili Simba na yanga tu!
 
Maarifa ya misri yalichangiwa na different race kama ilivyo leo kwa marekani. Teknolojia ya marekani ni mchango wa jamii ya dunia nzima, ndivyo ilivyokuwa kwa misri.
Ila kwa kizazi cha sasa maarifa ya misri ni ya kawaida sana sana hayana maajabu yoyote labda kwa mtu kama wewe sio mimi mkuu.
Halafu msingi wa kukupinga ni kuamini eti wamisri walifundishwa maarifa na viumbe vya ajabu ndio wamisri kuwa na maarifa wala sijaandika popote kuwa wamisri hawakuwa na maarifa bali maarifa yao yalikuwa ya kawaids tu, very obvious in a modern perspective/Adv tech perspective.
Kupanga panga mawe nayo ni maajabu kwa kizazi cha sasa?
 
Acient civilization ni ujima tu kama ujima mwingine, watu walitegemea farasi na punda halafu mimi niamini walikuwa wana maajabu.eekh!
Wewe endelea kuamini mythology na conpiracy theory, mimi naamini fact!
Watu hawakuwa hata na njia nzuri za kutunza kumbukumbu, mwe!
 
Please fanya kusoma vitabu kabla ya kubisha kwa hoja,,accient civilization ya huko Egypt ilikua balaa. Usifananishe misri ya leo na ya kale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…