love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Watu hawajui history even their background ni rahisi kukupinga kwa watu waliosoma vitabu tena vilivyoandikwa na hao hao wazunguunajua maana ya Accient Civilization ndugu tuanzie hapo kwanza,Kama hujui basi nafunga mjadala siwezi bishana na mtu Kama wewe!
Makadirio yanafanyika kwa umakini mkubwa sanaTOPIC INAITWA "PROBABILITY"[emoji818]
kwanini sasa huwa wana solve ?! Kama ni hesabu za ukadiriaji ??
Ni kweli mkuu wangu Afrika hasa sisi watu weusi hatuna maarifa Kabisa tunasoma elimu nyepesi Sana Tena Sana kiasi kwamba Kama sio mtu wa kujisomea nje ya Yale yaliyopo Kwenye mfumo basi utakua mweupe Sana Sana na hapo akija mtu aliyechukua maarifa nje ya mfumo wetu watu watampinga na kuona Kama miujiza flani haviwezekani Kabisa kumbe tatizoWatu hawajui history even their background ni rahisi kukupinga kwa watu waliosoma vitabu tena vilivyoandikwa na hao hao wazungu
hata kina socrates, plato na wengine wengi wanajua na wanaushuhudia mchango mkubwa wa egypt ya kale sio kwa ancient civilisation tu hata tech ya leo.
Ancient egpyt ni msingi wa kila tech unayo ihusudu leo.
History wanayo ijua ni ile vitabu vya dini vimewafundisha na baada ya ujio wa mkoloni wanayosoma darasan.
To prevent a car from skiding,Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..
Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Wadau oneni huyu jamaa alivyo mweupe narudia Tena Nenda kawasome wamisri wa kale uone maajabu Yao Kama hujui wanafalsafa wote na wanamahesabu wakubwa wa kigiriki walipata elimu ya Nyota,Uhandisi,Hesabu,Tiba na mambo kibao Toka Kwa wamisri wa kale ambao wewe unawachukulia poa na kuita wajimaAcient civilization ni ujima tu kama ujima mwingine, watu walitegemea farasi na punda halafu mimi niamini walikuwa wana maajabu.eekh!
Wewe endelea kuamini mythology na conpiracy theory, mimi naamini fact!
Watu hawakuwa hata na njia nzuri za kutunza kumbukumbu, mwe!
Surveyor,Engineers,scientist, staticians, lugha hesabu.Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Hahaaa umenikumbusha juu ya mgonjwa mmoja anaitwa kanutiNa hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..
Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Stori yako kama yangu. Hesabu zilikuwa zinanitesa sana. Nilipoingia form four tukapewa vitabu. Nikaanza kusoma Earth as a sphere, nikaona ha!, inaenda. Nikasoma na linear programming na probability. NECTA napata B hata mwenyewe sikuamini.Sisi wenyewe DJs tunatumia sana hesabu just imagine kuna mtu hajui matumizi ya hesabu katika maisha [emoji23][emoji23]
Producer na DJ ni kama wanafanya kazi 1 tu na kazi zao wote zinatumia hesabu kabisa sema tofauti ni mazingira ya professionals zao wanapozitumia, Ili uweze kumix nyimbo lazima ujue BPM/Tempo ya nyimbo husika (Yaani mkito kwa dakika/beat per minute) na ili uweze kumix nyimbo zenye utofauti mkubwa wa bpm inakubidi utumie technique ya Transition [emoji23] ni hesabu hapo.
Ili uweze kuitumia mshine/DJ controller na Dj softwares zake lazima ujue hesabu kidogo vinginevyo utaishia kuona kama lidude halieleweki na uzuri ukijua kutumia mashine ya aina 1 tu zingine utaweza, Sema yale ma Turntables ndiyo hesabu tupu inatumika na DJs wa kisasa hawayawezi labda wale wa zamani/wakongwe.
So tujifunze hesabu na tuiheshimu hata kama huipendi lakini asilimia kubwa ya maisha ya binadamu yamejaa hesabu, Hata mdada wa kazi anaesonga ugali na kupika wali nyumbani anatumia hesabu! Si mnahesabugu idadi ya vikombe vidogo vya chai vinne ni KILO moja hiyo [emoji23] na mnakadilia kabisa kilo wanakula watu wangapi..
Utaikwepa hesabu skuli ila home utaitumia tu utake usitake, hesabu ni kama MAJI YA KUNYWA hata MWENYEZI MUNGU Ameitumia katika uumbaji wake wote wa ardhi na mbingu na vilivyomo.
Duh nieleweshe mkuu kwanini kuna slope..hlf sijawahi kuchunguza aisee.Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..
Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Parabola, hyperbola, zilinipa sup moja matata sana chuoHesabu kama zile za parabola, dah hatari sana.