Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Umenikumbusha Physics ya Advance topic ya MECHANICS
 
kitonger Fuatilia hapa jamaa kafafanua.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwangu mm naona hesabu Zilikuwa zinatumiwa Sana na wagirik Greece ancient kina archemedes hesabu za calculas alikuja kuziendeleza nikola Tesla kwa kifup tafit za kisayansi ndizo zilizotuletea hesabu sayansi imeendelea kwa sababu ya hesabu tafit za kisayansi ndizo zilizotuletea hesabu
 
Mdau bila shaka utakuwa umesoma moshi tech et??
 
niliwahi kusoma sehemu kuhusu maajabu ya hesabu. inasemekana siri na maarifa ya mbalimbali ya kiulimwengu yamefichwa katika calculation za hesabu.

kila kitu unachokiona duniani na huko angani, kimepangaliwa katika taratibu na mafumbo ya kihesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…