Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

To prevent a car from skiding,
Inaitwa angle of bankingView attachment 1963950
Tatizo walimu wanaotufundisha ni wale waliopata division three, yaani mwalimu haelewi anachokifundisha, mfano sisi ticha wetu wa chemistry alifundisha orbital kwa miaka yote miwili mpaka tukambatiza jina orbital, yaani anachokifundisha yeye mwemyewe hakielewi,

Ticha wa Mathematics anafundisha Intergration ukimuuliza swali anasema vijana mnajifanya mnajua sana [emoji1].

Kiufupi ni kwamba hesabu ni lugha rahisi ya kuelezea scientific experiment au findings,
Jamaa haelewi kuwa bila trigonometrical ratio huwezi kupata vipimo vya kitu kilichokatika angle,

Wengine wanasema logarithm hazina kazi [emoji2] hawajui kuwa bila logarithm kipimo cha PH kisingekuwepo, hii maana yake ni kwamba watu huwakuelewa walichofundishwa,

Mtu hajui kuwa trigonometry inatumika kwemye projectile motion kurusha kombora au mpira kikapuniView attachment 1964014
View attachment 1964016
View attachment 1964017

Ukitaka kujua kuwa humu ndani kuna wajinga wengi soma comment kuanzia page ya kwanza mpaka ya nne, tena wengine wamesoma advance kabisa wanakuambia Malaika ndio walishisha hesabu
Umenikumbusha Physics ya Advance topic ya MECHANICS
 
kitonger Fuatilia hapa jamaa kafafanua.
 
Mihesabu kama ya Trigonometric ratios
(Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?

View attachment 1963923

Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa walifikiajefikiaje muafaka kwamba ukifanya hivi hivi ukaja hivi na hivi mpaka mwisho ndio mjibu huo umetiki??

View attachment 1963924

Kwakweli hesabu ni jambo la kushangaza sana. Hebu tupeni historia ya kugunduliwa hesabu mpaka leo. Na je hakuna hesabu mpya zilizogunduliwa miaka ya karibuni?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwangu mm naona hesabu Zilikuwa zinatumiwa Sana na wagirik Greece ancient kina archemedes hesabu za calculas alikuja kuziendeleza nikola Tesla kwa kifup tafit za kisayansi ndizo zilizotuletea hesabu sayansi imeendelea kwa sababu ya hesabu tafit za kisayansi ndizo zilizotuletea hesabu
 
To prevent a car from skiding,
Inaitwa angle of bankingView attachment 1963950
Tatizo walimu wanaotufundisha ni wale waliopata division three, yaani mwalimu haelewi anachokifundisha, mfano sisi ticha wetu wa chemistry alifundisha orbital kwa miaka yote miwili mpaka tukambatiza jina orbital, yaani anachokifundisha yeye mwemyewe hakielewi,

Ticha wa Mathematics anafundisha Intergration ukimuuliza swali anasema vijana mnajifanya mnajua sana [emoji1].

Kiufupi ni kwamba hesabu ni lugha rahisi ya kuelezea scientific experiment au findings,
Jamaa haelewi kuwa bila trigonometrical ratio huwezi kupata vipimo vya kitu kilichokatika angle,

Wengine wanasema logarithm hazina kazi [emoji2] hawajui kuwa bila logarithm kipimo cha PH kisingekuwepo, hii maana yake ni kwamba watu huwakuelewa walichofundishwa,

Mtu hajui kuwa trigonometry inatumika kwemye projectile motion kurusha kombora au mpira kikapuniView attachment 1964014
View attachment 1964016
View attachment 1964017

Ukitaka kujua kuwa humu ndani kuna wajinga wengi soma comment kuanzia page ya kwanza mpaka ya nne, tena wengine wamesoma advance kabisa wanakuambia Malaika ndio walishisha hesabu
Mdau bila shaka utakuwa umesoma moshi tech et??
 
Mihesabu kama ya Trigonometric ratios
(Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?

View attachment 1963923

Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa walifikiajefikiaje muafaka kwamba ukifanya hivi hivi ukaja hivi na hivi mpaka mwisho ndio mjibu huo umetiki??

View attachment 1963924

Kwakweli hesabu ni jambo la kushangaza sana. Hebu tupeni historia ya kugunduliwa hesabu mpaka leo. Na je hakuna hesabu mpya zilizogunduliwa miaka ya karibuni?
niliwahi kusoma sehemu kuhusu maajabu ya hesabu. inasemekana siri na maarifa ya mbalimbali ya kiulimwengu yamefichwa katika calculation za hesabu.

kila kitu unachokiona duniani na huko angani, kimepangaliwa katika taratibu na mafumbo ya kihesabu
 
Back
Top Bottom