Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Aliyewaita stupid sasa yeye je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni habari za uhakika alitoa kiparaIle picha imekanushwa vikali mno kuwa ilikuwa Ni mtoto wa mchezAji Mohamed husseni ,ceo b Gonzalez alikwenda kumsalimia mtot
Ila Sina uhakika pia na mm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii habari kaiweka vizuri kigogo2014 kule Twitter. Kipara anahusika wanasema.Ile picha imekanushwa vikali mno kuwa ilikuwa Ni mtoto wa mchezAji Mohamed husseni ,ceo b Gonzalez alikwenda kumsalimia mtot
Ila Sina uhakika pia na mm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Naam!Kifupi serikali ya ccm na watumishi wake hawafai kuendelea kupewa dhamana ya fedha zetu na madaraka
Kwa Tanzania ni ngumu sana watu hawa kuchukuliwa hatua kwani uongozi wa juu unajua watanzania hawatachukua hatua yoyote kama ilivyo kwa wenzetu wakenya na wengine. Mpaka tutakapokuwa na jeuri ndio mambo yatabadilika.Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao;
1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa.
2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika).
3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji.
4. Maafisa wote waliohusika na mchakato wa ukokotoaji na upokeaji wa hiyo invoice hadi kuiandika ilipwe.
Lakini kutokana na kukuosekana kwa collective accountability hakuna hata mmoja aliyetaka kusikia kauli ya kuchukuzwa kwa Rais. Tafsiri ya kukaa pembeni siyo kwamba umefanya bali yalipokuwa yanafanyika ulikuwepo na ulipaswa kuyaona ila hukuona au ulichelewa kutoa opinion yenye maslahi kwa umma.
Ila kwa Tanzania hata Rais angewataja kwa majina hakuna ambaye angeondoka ofisini hadi Rais atengue Kwa mkono wake!
Hiki kiburi cha watumishi na wanasiasa Tanzania, hakuna uwajibikaji, lakini pia Mawaziri wengi na Makatibu Wakuu wanaishi kwa salary, hivyo kwa kuwa hakuna alternative source ya income ni vigumu wao kukubali kurudi kujitegemea maana watoto watafukizwa ada.
Madhara ya kiburi hiki ni kwamba, Rais anaonekana anasema lakini hakuna kuchukua hatua kwa wale wanaomchukiza.
Hebu tuonyeshe dili anazopiga January.Mama ana upendeleo wa wazi kabisa ndo maana watumishi wengi wamekuwa liwalo na liwe, hebu angalia dili anazopiga JANUARY na MAHARAGANDE lakini hawaguswi.
Angalia janjajana za akina Bashe mpaka nchi inakosa chakula na kuanza kuagiza nje lakin hawaguswi. Angalia majigambo ya NAPE na TCCL inayokufa lakin hawawez kuguswa. Rais anataka wawajibike akina Mashimba NDAKI na akina LUKUVI serious!
Na kavalia sharti lilipasuka mgongoni😂😂😂Wachache wataelewa hili
Huyo waziri wa fedha anajua fika kila senti inaenda wapi, gavana anajua yote
Mazuzu tunapelekwa kwenye ushindi tena
Tunajua uchaguzi una gharama nyingi sana lazima watu wabebe magunia ya hela kuwapa wenye tamaa
Na mwisho wengine wanaambulia hata kofia yenye chapa na t-shirt ya inayochapishwa China
Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao;
1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa.
2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika).
3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji.
4. Maafisa wote waliohusika na mchakato wa ukokotoaji na upokeaji wa hiyo invoice hadi kuiandika ilipwe.
Lakini kutokana na kukuosekana kwa collective accountability hakuna hata mmoja aliyetaka kusikia kauli ya kuchukuzwa kwa Rais. Tafsiri ya kukaa pembeni siyo kwamba umefanya bali yalipokuwa yanafanyika ulikuwepo na ulipaswa kuyaona ila hukuona au ulichelewa kutoa opinion yenye maslahi kwa umma.
Ila kwa Tanzania hata Rais angewataja kwa majina hakuna ambaye angeondoka ofisini hadi Rais atengue Kwa mkono wake!
Hiki kiburi cha watumishi na wanasiasa Tanzania, hakuna uwajibikaji, lakini pia Mawaziri wengi na Makatibu Wakuu wanaishi kwa salary, hivyo kwa kuwa hakuna alternative source ya income ni vigumu wao kukubali kurudi kujitegemea maana watoto watafukizwa ada.
Madhara ya kiburi hiki ni kwamba, Rais anaonekana anasema lakini hakuna kuchukua hatua kwa wale wanaomchukiza.
Hahahah kakuudhi eeh msamehe bure ndiyo hulka yake ati 🤣🤣Tema mate mwanangu nimchape!!!
Ukishatema, anazuga kama anamwadhibu afu ndo inaishia hapo.
Hayo ndo madhara ya kumwajiri mtu KAZI, baada ya kuajiriwa, anageuka na kujiita Eti "mama Etu".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059][emoji3059][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Alikuwa ana wasingizia ndio maana hajachukua hatua yeyote ile……
Sawa, ila tuwape kina nani sasa mzee baba, sbbu wengine tunaogopa watasaini makubaliano na LGBTQ...[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Kifupi serikali ya ccm na watumishi wake hawafai kuendelea kupewa dhamana ya fedha zetu na madaraka
Kwa Tanzania hawa ni wajanja kwani wanaiba na hakuna lolote wanalofanywa.Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao;
1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa.
2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika).
3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji.
4. Maafisa wote waliohusika na mchakato wa ukokotoaji na upokeaji wa hiyo invoice hadi kuiandika ilipwe.
Lakini kutokana na kukuosekana kwa collective accountability hakuna hata mmoja aliyetaka kusikia kauli ya kuchukuzwa kwa Rais. Tafsiri ya kukaa pembeni siyo kwamba umefanya bali yalipokuwa yanafanyika ulikuwepo na ulipaswa kuyaona ila hukuona au ulichelewa kutoa opinion yenye maslahi kwa umma.
Ila kwa Tanzania hata Rais angewataja kwa majina hakuna ambaye angeondoka ofisini hadi Rais atengue Kwa mkono wake!
Hiki kiburi cha watumishi na wanasiasa Tanzania, hakuna uwajibikaji, lakini pia Mawaziri wengi na Makatibu Wakuu wanaishi kwa salary, hivyo kwa kuwa hakuna alternative source ya income ni vigumu wao kukubali kurudi kujitegemea maana watoto watafukizwa ada.
Madhara ya kiburi hiki ni kwamba, Rais anaonekana anasema lakini hakuna kuchukua hatua kwa wale wanaomchukiza.
Anaonyesha udhaifu mkubwa sana. Kwa alichokiongea pale ukumbini, ilipaswa barua ya utenguzi ifuate au kutamka moja kwa moja kuwa fulani, fulani nisikuone ofisini kesho......Samia hatakiwi kuwa ofisini
Huyu kipara ni nani?🤔Kuna mwingine kanunua LC 300 Landcruiser kamnununuloa demu wake yule wa simba baada ya kujifungua almost mil 400, huyo waziri wanasema kipara na ndiye mhujumu mkubwa wa mama kwenye mwanga wa usiku ule wa binaadamu yaani hata kuzima zima pale taifa siku ya mecho alihusika
Sawa, ila tuwape kina nani sasa mzee baba, sbbu wengine tunaogopa watasaini makubaliano na LGBTQ...[emoji2960][emoji2960][emoji2960]