Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

Unachekesha wewe... magu alisema hadharani kina kabudi amewatukana pumbafu zakutosha na wakawa wanacheka ndohao wajinga eti wajiuzulu...
mi hata angeniita mafi kunuka siachi ofisiiii we mihela yadezo,migari,mikoneksheni,misafari,miumaarufu,midemu,mikuogopwa,mikunyenyekewa ... acha utani wewe!!
 
Kwa Tanzania ni ngumu sana watu hawa kuchukuliwa hatua kwani uongozi wa juu unajua watanzania hawatachukua hatua yoyote kama ilivyo kwa wenzetu wakenya na wengine. Mpaka tutakapokuwa na jeuri ndio mambo yatabadilika.
 
Hebu tuonyeshe dili anazopiga January.
Kisha za Maharagande nazo ni zipi?
Janja janja za akina Bashe ni zipi ambazo zimesababisha nchi kuagiza chakula?
Sababu ya kwanza kubwa ya kwanza ya upungufu wa chakula ilikuwa ni mabadiliko ya tabia nchi yaliyosababisha ukame hadi kuvuna mazao machache. Janja janja za akina Bashe zilisababisha ukame?
Sababu ya pili ni vita vya Ukraine ambako pamoja na Russia wanatoa karibia 40% ya ngano duniani, janja za akina Bashe zimesababishaje vita vya Ukraine?
Nyingine inaweza kuwa ni makubaliano ya soko la pamoja la Afrika mashariki ambako mkulima anaweza kuuza mazao yake popote.
Mfumo huu umetengenezwa na CCM kwa muda mrefu, hata awamu iliyopita wizi haukukomeshwa bali walibadilishwa wezi.
Sh 1.5t CAG alisema hazina maelezo zimetumika vipi, na hakuna awamu yeyote ambayo kuna pesa nyingi zimewahi kupigwa kama hizi. Lakini iliishia kwa CAG kufutwa kazi kinyume cha sheria na hata bunge kimya, zaidi tulimsikia spika akisema atake asitake lazima tutamuongezea muda.
Serikali iliyoingia madarakani kwa wizi wa kura ni wezi, kuwakabidhi hazina ya nchi majanga lazima yatokee kama haya ya upigaji.
Tatizo CCM mna makundi na haya ni matokeo ya vita vyenu sukumagang na Msoga gang, dawa ni katiba mpya bora ili uwajibikaji upewe nguvu ya kisheria siyo huruma ya aliye madarakani
 
Na kavalia sharti lilipasuka mgongoni😂😂😂
 
Nasemajeee imeishaa hiyo 😅 Huyo katibu wa masuul tulikuwa naye viwanja jana anajiachia tu wala Hana hata tone la waswas 🤣🤣🤣
 
Tema mate mwanangu nimchape!!!

Ukishatema, anazuga kama anamwadhibu afu ndo inaishia hapo.

Hayo ndo madhara ya kumwajiri mtu KAZI, baada ya kuajiriwa, anageuka na kujiita Eti "mama Etu".
Hahahah kakuudhi eeh msamehe bure ndiyo hulka yake ati 🤣🤣
 
Hivi waziri wa fedha aliyeidhinisha siyo huyu mchumi no moja Mwigulu?
Huyu hakuwa mmoja wa wahusika wa task force ya kupora raia fedha zao kwenye plea bargaining?
Kama hii mijizi iko madarakani tusahau habari za uwajibikaji CCM ni ukoo wa panya
 
Alikuwa ana wasingizia ndio maana hajachukua hatua yeyote ile……
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059][emoji3059][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kifupi serikali ya ccm na watumishi wake hawafai kuendelea kupewa dhamana ya fedha zetu na madaraka
Sawa, ila tuwape kina nani sasa mzee baba, sbbu wengine tunaogopa watasaini makubaliano na LGBTQ...[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Kwa Tanzania hawa ni wajanja kwani wanaiba na hakuna lolote wanalofanywa.
 
Huyu kipara ni nani?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…