Mama hajaishia hapo lazima wawajibishwe wait and see
Bwashee sasa unasusa kwa faida ya nani? Kama una alternative si uiseme ili tuendelee na mjadala badala ya kususa!Basi endelea kuibiwa. Mpaka ukome.
Naona tumeanza kulia tena. Wakati wa Kikwete tulilia hivi hivi, tukawa tunatamani tupate rais mkali mwenye mkono wa chuma, tukapata mwamba Magu (rip), sisi hawa hawa tukaanza kulalamika vyuma vimekaza.Watu wanapiga pesa ndefu vile unabaki kulalama kwenye tv eti stupid. Amri jeshi mkuu unalia, halafu kesho mnaenda kukopa na kuongeza tozo wa Raia. Very stupid in deed.