The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
habari za Jioni wadau leo nimepeleka fundi site kwa hii ramani labour charges kadai 1.5m kwa msingi pekeeView attachment 2099828though too high but kama ni mawe au block inaweza fika hapo kutegemeana na nature of terrain na muinuko wa msingi.
Inategemea na standards ulizochagua,ukubwa na nature ya sehemu.Mimi nimeishia kuezeka, 32M imeshakatika. Nyumba vyumba vitatu, viwili ni self. Pia ina jiko, sebule na dining
Mzee unaupiga mwingi mnoAnother updateView attachment 2148329
Huu urembo wa nguzo ni sh. ngapi umelipia?Another updateView attachment 2148329
Huu urembo wa nguzo ni sh. ngapi umelipia?
Nakubaliana kabisa mkuuInategemea na standards ulizochagua,ukubwa na nature ya sehemu.
Binafsi nategemea nitumie max.of 30 mln kwa kila kitu hadi kuhamia.
Kwa sasa nimemaliza BOMA kwa mil.6,mwisho wa mwaka natarajia kutumia mil.7 kuezeka, inshallah.[emoji116]
View attachment 2148710
View attachment 2148711
View attachment 2148712
View attachment 2148750
View attachment 2148751
View attachment 2148752
Asee, unantisha
Hongera Sana MzeeInategemea na standards ulizochagua,ukubwa na nature ya sehemu.
Binafsi nategemea nitumie max.of 30 mln kwa kila kitu hadi kuhamia.
Kwa sasa nimemaliza BOMA kwa mil.6,mwisho wa mwaka natarajia kutumia mil.7 kuezeka, inshallah.[emoji116]
View attachment 2148710
View attachment 2148711
View attachment 2148712
View attachment 2148750
View attachment 2148751
View attachment 2148752
Asee, unantisha
Uko Mkoa gani?Kwa anaye hitaji tiles size zote kwa bei poa 2022
Cont..0623152344View attachment 2074718
Hii mkuu inamaanisha nini? Labour charge kwa fundi ni Tshs. 400 kwa tofali atakalojenga?Duh mnawabana sana mafundi. Nawalipa 400 kwa tofali juu/chini.
Sasa itakuaje?DOM nimefika nyumba nyingi chini zimelika.
Yeah.Hii mkuu inamaanisha nini? Labour charge kwa fundi ni Tshs. 400 kwa tofali atakalojenga?
Mkuu kibanda changu kimeshapigwa plaster nielekeze upo uwezekano wa kuifanya hivi?Another updateView attachment 2148329
Mkuu kibanda changu kimeshapigwa plaster nielekeze upo uwezekano wa kuifanya hivi?