Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Mtaani kwangu cement sasa imefikia 15,500 ukilinganisha na 14,500 niliokua nannunulia awali. Interval ya mwezi 1 tuu.
 
Hizi scrap yards ziko pande gani kwa DSM??
 
Kuna sehemu ni Tshs 23,000/=
Nilianza ujenzi mwezi wa nane cement ikiwa Tshs 21000 nikanunua mifuko 25.

Nilijenga msingi ukaisha ila cement haikutosha katikati ya mwezi wa tisa nilipoenda kununua tena cement nikakuta Tshs 23000/=
Ila nashukuru Mungu nimemaliza boma lote najipanga nipaue mwezi March.
 
Kwa wale wanao malizia kujenga au wanaanza kujenga ikifika kitengo cha kuweka tiles nichek kwa no.
0623152344.

Nauza tiles aina mbalimbali..
Size.
60*60
50*50
40*40
25*40
30*30
Tiles ninazo grade zote za juu na za chini

 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla na rejareja :-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu pia Tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar es salaam
Ofisi zetu zipo Tegeta kibaoni-Bagamoyo road
 
Wadau mliopita

Hivi gharama za fundi ujenzi nyumba ya rooms 3

Foundation tayari ipo,yeye anaanzia kupandisha.

Cost bei Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…