HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
HongeraNimeshaezeka, twin apartments kila moja ina vyumba viwili(kimoja master),sebule,jiko na choo. Boma na kuezeka nimetumia 11.5m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraNimeshaezeka, twin apartments kila moja ina vyumba viwili(kimoja master),sebule,jiko na choo. Boma na kuezeka nimetumia 11.5m
Unaweza weka ka floor plan hapa mzeya.Nimeshaezeka, twin apartments kila moja ina vyumba viwili(kimoja master),sebule,jiko na choo. Boma na kuezeka nimetumia 11.5m
DarUnaweza weka ka floor plan hapa mzeya.
Hii 11.5m ni kwa mkoa gani?
Mpaka kukalisha unategemea itagharimu kiasi gani mzee...? Hiyo hamna mashino ya choo?
25m. Sijachimba mashimo ya Choo wala kuweka grill.Mpaka kukalisha unategemea itagharimu kiasi gani mzee...? Hiyo hamna mashino ya choo?
Naomba unipatie kafloorplan25m. Sijachimba mashimo ya Choo wala kuweka grill.
Nitakuchorea sketchNaomba unipatie kafloorplan
Wapi hapo mzee wanauza 26,000/= ?Sio kwa bei ile ya cement kha 26000
KwetuWapi hapo mzee wanauza 26,000/= ?
Hongera SanaBaada ya kukaa miezi kadhaa hatimaye nimeanza kupaua View attachment 2124213
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
2021 Dec,niliishia hapo, najipanga niweke madirisha, furniture,Rangi na mbwembwe zingine. Ila nyumba ni finishing kunyanyua Boma ni rahisi sana.View attachment 2125343
Ubarikiwe hujui tu ni namna gani umenitia moyo asante sana!!Narudia tena, usikate tamaa wala kuona unachelewa.
Hizo picha zisikutishe, mambo hayakwenda haraka kama zinavyoonekana.
Baada ya kufunga mkanda wa chini, nilikaa mda mrefu tu inakaribia miezi nane.
Nilipoinua boma kufunga linter na ile mistari mitatu ya juu napo nikapitea hapo ni miaka 2. Nikaja kurudi kwa kasi hadi kuhamia sasa.
Usivunjike moyo kabisa.
Imekula ngapi mpaka hapoAnother updateView attachment 2148329
Imekula ngapi mpaka hapo