Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Nimeshaezeka, twin apartments kila moja ina vyumba viwili(kimoja master),sebule,jiko na choo. Boma na kuezeka nimetumia 11.5m
Unaweza weka ka floor plan hapa mzeya.
Hii 11.5m ni kwa mkoa gani?
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
2021 Dec,niliishia hapo, najipanga niweke madirisha, furniture,Rangi na mbwembwe zingine. Ila nyumba ni finishing kunyanyua Boma ni rahisi sana.
IMG_20220220_191253.jpg
 
Narudia tena, usikate tamaa wala kuona unachelewa.

Hizo picha zisikutishe, mambo hayakwenda haraka kama zinavyoonekana.

Baada ya kufunga mkanda wa chini, nilikaa mda mrefu tu inakaribia miezi nane.

Nilipoinua boma kufunga linter na ile mistari mitatu ya juu napo nikapitea hapo ni miaka 2. Nikaja kurudi kwa kasi hadi kuhamia sasa.

Usivunjike moyo kabisa.
Ubarikiwe hujui tu ni namna gani umenitia moyo asante sana!!
 
Kwa wale wanao itaji tiles za chooni, jikoni, sitting room or vyumbani..
Karibuni.
Contact : 0744928908.
IMG_20220311_132501.jpg
 
Back
Top Bottom