Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Kwann mnamwandika humu? Mnajikanyaga wenyewe sasa , njia ya muongo ni fupi
Ile hoteli ya TANNAPA iliyokua inajengwa chato imekamilika? Jamaa lilikua na ubinafsi uliopitiliza sana kama vile sehemu zingine hazihitaji maendeleo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Si tu wakutajie mali zake ujue kama alikuwa mwizi bali pia wakutajie watu waliojeruhiwa, walioteswa, waliouawa na 'waliopotezwa' ili ujue kuwa pia alikuwa katili aliyepindukia na muuaji.
 
Mkuu Naona mahaba ya Jiwe yamekupunzia tafakuri.Kama sivyo basi wewe ni kilaza
 
Chinembe ungepumzika unaandika sana..pumzika kidogo
Labda kuandika kwake ni kama kuvuta pumzi sasa ukimwambia apumzike ni sawa na kumwambia aache kuvuta pumzi.
 
Huo Uwanja wa Hai ,unaozungumzia ni KIA bila shaka!🙄🙄🙄😁😁😁😂😂😂
 
Umeandika ushuzi mtupu.......
basi hapa njemba inajisikia raha.....
kumbav
 

Mbona chato beach resort inafanya vizuri sana… [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hembu fafanua vizuri hii aya ya mwishorafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…