Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Chato ilistahili kubakia kuwa kijiji na siyo wilaya. Haya, uliona wapi kijiji chenye taa za barabarani?
Ntajie tofauti ya wilaya ya Chato na Wilaya ya Misungwi au na Wilaya ya Uvinza kigoma au na Wilaya ya Itigi (Singida) au na wilaya ya Uyui ( Tabora) au na wilaya ya malinyi ( Morogoro ) au na wilaya ya Mwanga ( kilimanjaro )
 
Tunawaonyesha kuwa sukuma gang mtateseka sana hadi mtamani kumfuata mfadhili wenu aliko
Mm sio msukuma , mpuuz ww , mm natokea upinzan ulipo zaliwa ila siwez shabikia stori za kusadikika kisa tu tuna mchukia tunayemzunguzia , huko ni kulea uzwazwa , UNAKUMBUKA JINA LAKO LKN ( ZUZU FC )
 
Yaani sehemu yenye wafanyabiashara wenye uwezo wa kuwaonga wanasiasa na wenye uwezo wa kujenga maguest leo hii wakose hata baiskeri ya kupita nazo kwenye hizo roads zenye mataa? yaan narudia ni vichaa tu ndo watakusikiliza , unaongea pumba sana na hujui kutunga stori
Mwache aendelee kutetea ujinga
 
Mm sio msukuma , mpuuz ww , mm natokea upinzan ulipo zaliwa ila siwez shabikia stori za kusadikika kisa tu tuna mchukia tunayemzunguzia , huko ni kulea uzwazwa , UNAKUMBUKA JINA LAKO LKN ( ZUZU FC )
Sukuma gang baada ya kubanwa kila kona mmeanza kulikimbia kundi lenu.

Hapo bado sana lazima mtawakataa hata waasisi wa hilo genge lenu.

Ndugaye tayari tushamg'oa na bado pole pole na yule kichaa mwenzenu
 
Ila JPM alikua muaribifu, mimi ni mkazi jirani na hapa dege uku kigamboni, akseh dege ni kama imepigwa laana, yani watu waliwekeza kwa ajili ya biashara b4 utawala wa JPM sasa njoo hapo leo, dah mabati na milango ya maduka mpaka yanaota kutu ni balaa hakuna wateja
Gorodiani alipewa tenda ya kuuza simenti Chato mzima, vipi? Bado ana wateja? Maana sekta ya ujenzi imekwama, miradi haiendelei
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha.

Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa yanajengwa yamesimama, mikopo ya kulipwa benki waliyokopa imeiva.

Kinachofata ni mashinikizo kwa wanasiasa na wakati mwingine wanawapa Hela ili angalau Chato iwe Mkoa warudishe mikopo. Wanasiasa wengi wanaotaka Chato iwe Mkoa wako kwenye payroll ya wafanyabiashara, wanalalamika waliingizwa mkenge.

Bado we waliojenga viwanda

Yale mataa ya barabarani yanayowaka usiku pale Chato yanasaidia kumulika umasikini mkali uliotamalaki na kuthibitisha hoja ya Nyerere kwamba maendeleo ni ya watu, sio ya vitu, wananchi wanatembea kwa miguu kurudi na kwenda makazini huku wakimulikwa na taa za barabarani, wanalala njaa majumbani huku wakichungulia dirishani wanaona barabarani Kuna taa zinawaka usiku.

Mawaziri na viongozi waliolazimishwa kununua viwanja Chato wanahaha kupata mteja wa kuwauzia kwa karibu mwaka sasa.

Ajenda ya chato kiwa Mkoa sio ya wananchi, ni ya wafanyabiashara na wanasiasa, wananchi wanataka Samia awatoe kiuchumi tu na kusomesha watoto wao ambao waliachwa wakihaha
Wakati ukifika watapata wateja tu
 
Kuna miundombinu gani ya chato ambayo ni yofauti na Wilaya kama za Chalinze , Masasi , Same , Nzega au Hai ? Kuna muda siasa zinawafanya mtunge uongo sana , chato nmefika sijaona maajabu yyte ya kusema JPM kafanya , chochote kilifanywa hapo Chato kimefanywa pia wilaya nyingine za Tanzania
kwahiyo kila wilaya nchi hii ina kiwanja cha ndege?
 
Jinsi ulivyouliza nikajua wewe ndio unajua mambo ya chacho kumbe nawe umeishia kuuliza tena vivo ivyo??
 
Masikini unaongea nini?....unajua shughuli ya kujenga hoteli au kiwanda....wewe ni mmoja wa makada wapumbavu sana.....sasa si mnasema aliyepo anaupiga mwingi subirini muda si mrefu lazima mkohoe damu chawa nyinyi.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi ni chawa wa mama kama nyie mlivokuwa chawa wa dikteta uchwara magufuli

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna miundombinu gani ya chato ambayo ni yofauti na Wilaya kama za Chalinze , Masasi , Same , Nzega au Hai ? Kuna muda siasa zinawafanya mtunge uongo sana , chato nmefika sijaona maajabu yyte ya kusema JPM kafanya , chochote kilifanywa hapo Chato kimefanywa pia wilaya nyingine za Tanzania
Chalinze kuna International Airport?
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha.

Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa yanajengwa yamesimama, mikopo ya kulipwa benki waliyokopa imeiva.

Kinachofata ni mashinikizo kwa wanasiasa na wakati mwingine wanawapa Hela ili angalau Chato iwe Mkoa warudishe mikopo. Wanasiasa wengi wanaotaka Chato iwe Mkoa wako kwenye payroll ya wafanyabiashara, wanalalamika waliingizwa mkenge.

Bado we waliojenga viwanda

Yale mataa ya barabarani yanayowaka usiku pale Chato yanasaidia kumulika umasikini mkali uliotamalaki na kuthibitisha hoja ya Nyerere kwamba maendeleo ni ya watu, sio ya vitu, wananchi wanatembea kwa miguu kurudi na kwenda makazini huku wakimulikwa na taa za barabarani, wanalala njaa majumbani huku wakichungulia dirishani wanaona barabarani Kuna taa zinawaka usiku.

Mawaziri na viongozi waliolazimishwa kununua viwanja Chato wanahaha kupata mteja wa kuwauzia kwa karibu mwaka sasa.

Ajenda ya chato kiwa Mkoa sio ya wananchi, ni ya wafanyabiashara na wanasiasa, wananchi wanataka Samia awatoe kiuchumi tu na kusomesha watoto wao ambao waliachwa wakihaha
Chato kubatizwa tu mkoa pia hakutaleta mzunguko wa fedha. Mzunguko wa fedha unaletwa na shughuli za kiuchumi, kilimo, viwanda, biashara, shughuli za uchimbaji madini, shughuli nyinginezo kama utalii, n.k. Kabla hata kufikiri Chato ingeweza kuwa Mkoa ilitakiwa waangalie hizi shughuli nilizotaja kwa Chato zilikuwa kwenye level gani. Ila, inaonekana kiu yao ilikuwa kwanza mkoa na sasa wanaangalia maturity ya shughuli za kiuchumi. Nafikiri tunatakiwa kusahau. Mheshimiwa Raisi acha kuwapa matumaini watu wa Chato, waambie Chato kuwa Mkoa bado, kama ulivyowaambia Moshi JIJI bado
 
Back
Top Bottom