Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Bila Picha babaa hakuna kitu unaweza nisikizia, Upuzi wa mdomo mdomo na umbea tunawajua nyinyi kubobea sana. Siku ile Tz itapata double stack wewe piga Picha alafu unitag nijuskize but as for now mkutano wa mnanda na huna Ng'ombe alafu wewe ndio kwenye mdomo mkubwa unafikiri kuna wa kukusikiliza?

Tena narudia ukipata SGR na ianze kusafirisha hata gram moja nitag...kwa sasa hamna tofauti yenu na Somalia, South Sudan na Burundi kwa kuwa wrote hawana a working SGR.
 

Ahaaa haaa haaa
the other time you said, mkinunua hata NDEGE moja tuwaTag, tumeshanunua ndegem
again mkasema mkikua na hata sentimeta moja ya SGR tuwatag, but of now we have 50+km.
sasa mnasema ikianza kubeba makontena tuwaTag, I promise we'll do dat.
 
Sio makontena tu bali lazima yawe double stack. Turudie tena kwa pamoja "double stack". Tena kwa sauti "double stack".
 
Naona umenisaidia kumwonyesha mtu ambae alisema ya Tz haitakua na capability ya double stack kwa kua ni electric. Ukitumia hoja ya contractor mmoja unakua unayumba! Jipange uje na hoja nyingine.
 
Sio makontena tu bali lazima yawe double stack. Turudie tena kwa pamoja "double stack". Tena kwa sauti "double stack".

Teh teh teh tihiii
you added "double stack"!!!
wait 2 c my broda.
 
Kwa hiyo unashindana Na Wa Tanzania?
 
Kwa hiyo unashindana Na Wa Tanzania?
Watanzania ndiyo wanashindana na sisi. Tunawaambia wakome kwa sababu hatuko level moja lakini wao kichwa ngumu hawasikii.
 
Watanzania ndiyo wanashindana na sisi. Tunawaambia wakome kwa sababu hatuko level moja lakini wao kichwa ngumu hawasikii.
Wewe mbumbumbu sana watanzania tushindane Na nyinyi kwa lipi Sasa maskini tu nyinyi.
 
Hakuna mtu anajua direction ya hio train, huyo Geza ni wivu inamsumbua
Saut Sol Wamekwisha watahadharisha juu ya mapesa mliokopa Uchina mkajenga Reli na barabara zilizobaki michenji Mkagawana!

"...Kenya mko na disaster...mko kwa JF mnajibizana!.."

Cc
MK254
Kenya254
 

Attachments

Mnitag tafadhali alafu hiyo 50km iko wapi kama sio ile ya mdomo? Picha?
 
This tunnel in ths foto is not Kenya! Kadanganye mambumbu wenzio! Na over head cables kwa ajili ya electric SGR zitawekwa wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…