Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Ukiweka Picha utanitag ila kwa sasa maneno ndio mingi.
Ila fahamu China itabidi awatawale tu hamna namna ukistaajabu ya Zambia yanakuja ya Kenya.
Dua la kuku halimfikii mwewe...jirani kwenye wivu wa kike kumbe mnatuombea mabaya ila mtazidi Kuisoma namba.
Mkuu Uhuru hajazindua? Hataki ujiko?
Huku usinduzi unawachiwa wafanyibiashara hamna kupoteza muda na pushups za kuwahadaa wananchi.
 
Uliwahi ona wapi unaona demu barabarani unajigamba wa kwako?reli ya mchina,treni zake za makaa ya mawe za mchina,madereva wa kichina sasa ulikuwa unataka uhuru aende akazindue kitu kisicho chake?,pamoja na viroba kichwani anajielewa.
Reli ipo Kenya ama Uchina? Nimeshuhudia Tanzagiza wakifanywa shamba la bibi na kila mtu , je unajua ya ndio exporter mkubwa wa Tanzanite?Je pimbi wajua kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa Tanzania? Usiwatukane wakunga uzazi ungalipo.
Deni la mchina mtaweza kulipa ama itabidi msamehewe mara ya tatu?
 
je unajua kama tz hata uibe kwa miaka 30 kutoka sasa hakuna utakachokipunguza na matajiri wa rasilimali unakumbuka na mlima wetu umeuiba kupitia mitandaoni tena nadhani kwa fitna zenu angeweza mngeuburuta kama mv nyerere na bulldoza kuuhamishia kwenu kwa roho mbaya zenu za kichawi na hao wawekezazi wa kikenya wapo tumewakaribisha mkiamua ondokeni muone kama tutapungukiwa kitu zaidi ya kukumbwa na hali mbaya huko kwenu mpaka muuane.
 
  1. je unajua kama tz hata uibe kwa miaka 30 kutoka sasa hakuna utakachokipunguza na matajiri wa rasilimali unakumbuka na mlima wetu umeuiba kupitia mitandaoni tena nadhani kwa fitna zenu angeweza mngeuburuta kama mv nyerere na bulldoza kuuhamishia kwenu kwa roho mbaya zenu za kichawi na hao wawekezazi wa kikenya wapo tumewakaribisha mkiamua ondokeni muone kama tuta
    [*]
    je unajua kama tz hata uibe kwa miaka 30 kutoka sasa hakuna utakachokipunguza na matajiri wa rasilimali unakumbuka na mlima wetu umeuiba kupitia mitandaoni tena nadhani kwa fitna zenu angeweza mngeuburuta kama mv nyerere na bulldoza kuuhamishia kwenu kwa roho mbaya zenu za kichawi na hao wawekezazi wa kikenya wapo tumewakaribisha mkiamua ondokeni muone kama tutapungukiwa kitu zaidi ya kukumbwa na hali mbaya huko kwenu mpaka muuane.

    [*]pungukiwa kitu zaidi ya kukumbwa na hali mbaya huko kwenu mpaka muuane.
  2. je unajua kama tz hata uibe kwa miaka 30 kutoka sasa hakuna utakachokipunguza na matajiri wa rasilimali unakumbuka na mlima wetu umeuiba kupitia mitandaoni tena nadhani kwa fitna zenu angeweza mngeuburuta kama mv nyerere na bulldoza kuuhamishia kwenu kwa roho mbaya zenu za kichawi na hao wawekezazi wa kikenya wapo tumewakaribisha mkiamua ondokeni muone kama tutapungukiwa kitu zaidi ya kukumbwa na hali mbaya huko kwenu mpaka muuane.
    Hatuwezi kuwaacha hata kidogo MNA faida si haba kwetu(shamba la bibi).
 
Ukiweka Picha utanitag ila kwa sasa maneno ndio mingi.

Dua la kuku halimfikii mwewe...jirani kwenye wivu wa kike kumbe mnatuombea mabaya ila mtazidi Kuisoma namba.

Huku usinduzi unawachiwa wafanyibiashara hamna kupoteza muda na pushups za kuwahadaa wananchi.
Kinachobeba double stack sio behewa unalotaka kuliona bali designing ya reli yenyewe kuanzia kwenye kimo cha tunnels, uimara wa reli, kimo cha charging cables from the rail top and other sensitive factors so mpaka uone we have ordered double stack wagons more than 50

Made up your mind we have finished the job and settled the case of running double stack wagons on our SGR
 
Sasa hii ni fedha yetu wenyewe tunanunua haya mavitu huko nyumba ya jirani hawana tofauti na mwanaume dhaifu tena mwenye upungufu wa nguvu za chini anatafutiwa mke na kumuolea,chakula analishiwa mavazi anasaidiwa kuvalishiwa mpaka mpini anasaidiwa,ndio majirani zetu kilichopo.
😁 😁 😁 😁
 
Haa haa we jamaa bwana,sisi SGR yetu imedizainiwa kubeba 35ton/axle load.Sasa tushindwe kuwa na behewa za namna hiyo.Ninachofahamu kwenye behewa zitakazokuja huko mbeleni zipo 50 kama hizo kwa ajili ya kubeba mizigo.Siku njema kiongozi.
17ton mzee
 
The nature of our bridges and tunnels limits the height to one container only so double stalking is not possible on all of our railways.
Electrification of our SGR will as well make impossible for the new railway line to double stalk.
Big excuse your Railway is china class C..kenya china Class A
 
Mkuu unataka kusema hamna electrical train ambayo ina uwezo wa kubeba container mbili zilizo pandana! Kama umeshaona designs za tunnels zetu naomba utuonyeshe hapa, za Kenya tumesha ziona na ziko clear hamna double stack possibility (Nairobi onwards).
 
Sgr yenu kivipi? Mnajisahaulisha deni la wachina? Ni kitambo kidogo watapita nayo iyo hahahaha
Kwani unafikiri wataing'oa waibebe hadi uchina pimbi? Wivu utakumaliza mkuu tulia hapa tu taratibu uisome namba kama ilivyo kawaida.
 
Big excuse your Railway is china class C..kenya china Class A
Our railway is China class!! Leo umevuta nini mapere... a thorough investigation was made by a speacial team created by M7 on railways, report yao iliweka wazi in Africa hamna chinies class A. Kama unabisha katafute sifa za chinies class A utajua hujui.. at a speed of 110km/hr only a fool can believe that is considered to be class A in China. Usisikilize sana wanasiasa jiongeze msee
 
Kenyas Railway is China Class A
 
Mkuu unataka kusema hamna electrical train ambayo ina uwezo wa kubeba container mbili zilizo pandana! Kama umeshaona designs za tunnels zetu naomba utuonyeshe hapa, za Kenya tumesha ziona na ziko clear hamna double stack possibility (Nairobi onwards).
Ningependa kukungojea hadi mwaka ujao alafu nikuonyeshe screenshot ya comment yako nikikutag kwa picha za SGR kenya phase 2 zikipitisha double stack kama suprise! Lakini ntakuanzisha sahii early in advance ili usije ukashikwa na heart attack.

Hii hapa double stack wagons ikitumia electric rail na inapita chini ya tunnel huko China. Tunnel yenyewe ilijengwa na kampuni hio hio, height ya tunnel ni the same na ya Kenya at 7.6meters

7C8AC99A-6832-4D0A-B14E-A340D66F90F3.jpeg
 
Back
Top Bottom