Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

Kama una kumbukumbu sahihi, siku ya kikao ambacho Dr. Mwele alikuwa anatoa matokeo ya utafiti huo Waziri wa Afya alikuwa hapo hapo kwenye kikao. Dr. Mwele HAKUTANGAZA kuwa kuna Zika bali alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti uliofanywa na NIMR. Na hiyo taarifa ilihusisha magonjwa mengine pia wala haikuwa Zika peke yake.
 
She must have been a total fraud, even in her private life. Alibebwa tu na jina kubwa la baba yake. She must have cheated her way into her academic and work life because her dad always had her back throughout.
Hivi unadhani kila profession unaweza ku-fake?
 
Kwa taarifa yako tafiti zote zinazofanywa na NIMR hupelelwa Wizarani. Dr. Mwele hakuwa mjinga kutoa matokeo ya utafiti pale tena mbele ya Waziri bila kupeleka taarifa Wizarani
 
Kwa taarifa yako tafiti zote zinazofanywa na NIMR hupelelwa Wizarani. Dr. Mwele hakuwa mjinga kutoa matokeo ya utafiti pale tena mbele ya Waziri bila kupeleka taarifa Wizarani
Zikihusu issue ya kitaifa yeye sio msemaji wa taifa

Hii kitu in cost wasomi wengi sababu hawajui boundaries za madaraka waliyonayo!!!

Tafiti kama mfanyakazi was serikali it doesnt matter uko level gani uko chini ya waziri ukiona issue hii ya kitaifa peleka maoni yako huko wizarani

Mfano mkuu wa majeshi anajua mambo yote ya vita na majeshi yote yako chini yake lakini hata siku moja hawezi ita press conference kusema jeshi tumeamua kuingia vitani na nchi Fulani

Mkuu wa taasisi sio final

Ndio maana fani zote pia zina mtu final mfano mwandishi wa habari final ni mhariri

Junior lawyer final senior lawyer au partner nk
 
Mijitu mingine mijinga kweli!! Anadhani Dr. Mwele angeweza kutoa taarifa ya matokeo kwa kumshtukiza Waziri kwenye kikao!!!
Angetimuliwa hapo hapo huo utafiti wake kahakiki nani? Angekamatwa na pingu juu

Waziri na wizara haina habari halafu wewe ujitie kijogoo

Mtumia tafiti zako ni Huyo boss wako ndiye mwisho wa Siku angetakiwa Ku impliment na kutafuta measures za kukabiliana nao kwa kutenga bajeti nk
 
Kwa taarifa yako tafiti zote zinazofanywa na NIMR hupelelwa Wizarani. Dr. Mwele hakuwa mjinga kutoa matokeo ya utafiti pale tena mbele ya Waziri bila kupeleka taarifa Wizarani
Wakati uteuzi wake wizara lazima ahusike Kilichomkuta naona somo utakuwa umelielewa .Wizara ihusike kukubali ushike post halafu ukishapata unajifanya kjogoo.Wizara unaiona hopeless!!!
 
Good mkuu kwa maelezo yenye shibe.wabongo tumejaa uzushi majungu na kujikomba kwa viongozi waliopo madarakani ndo maana hatuendelei kama nchi
 
Dhambi ya FITINA itawala

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Msifanye watu humu wajinga si kila tafiti zikifanyika basi unakurupuka kutangaza hasa tafiti za magonjwa makubwa...usifananesha utafiti wamagonjwa makubwa na utafiti wa vikoba!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Timu Magufuli.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Btw, tuliambiwa humu kuwa Magufuli alikufa mapema kwa sababu ya madhambi yake; sasa huyu binti amekufa kwa sababu ya madhambi ya nani?
Conclusion za makamanda wakati mwingine ni za kijinga sana!
Jina lako unalinajisi.afrika kusini Hilo jina Lina thamani kubwa.wewe umegeuka praise team ya ccm.
 
Msifanye watu humu wajinga si kila tafiti zikifanyika basi unakurupuka kutangaza hasa tafiti za magonjwa makubwa...usifananesha utafiti wamagonjwa makubwa na utafiti wa vikoba!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni upoyoyo wa kiwango Cha lami.unaficha utafiti ili iweje?au unataka ukamuonyeshe mmeo na watoto wako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…