Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

Wewe mzima wa akili mbona unalialia tu humu JF?. Mbona hakuna cha maana unachofanya kubadilisha hali yako ya sasa ili iwe nzuri?.
Cha maana kwanza ni kumwambia mjinga aache kusifia vitu duni visivyoleta mabadiliko kwa hali ya watu..pili kumwambia neno mjinga si kulialia, tatu si kila anayeandika hapa ni mjinga, masikini na fukara kama wewe unayeishi kwa kodi za watu kutetea umaskini wenu..na kwa akili ya aina hii utakufa na ufukara wako.
 
Samia kaamua kutembea huko nje kutafuta chochote kwa ajili ya Tanzania.

Kosa alilofanya mtangulizi wake ni kuaminisha watu vitu visivyo na ukweli wowote. Alikuwa akiongea illusions mara nyingi.

Kwamba nchi hii ni tajiri na ina kila kitu, vyote tulivyonavyo vipo ardhini havijaanza kuchangia ukuaji wa uchumi, SSH kaamua kuishi katika dunia halisi ya leo hii na bado makelele ni mengi humu ndani.

Na tusidhani umaskini ni wetu tu, dunia nzima hakuna mahali penye afadhali. Popote kuna madhara ya Covid 19 na hii vita ya kipuuzi ya Russia dhidi ya Ukraine.

Ukitoka Tanzania ukaenda Ulaya ukaenda Japan, popote utakapokwenda hali ni mbovu kama hapa kwa sasa. Tupunguze haya machungu, ugumu wa maisha ni kila mahali.
 
Mshukuru shetani aliyekufanya hivyo ulivyo unafurahia maisha kwa kodi ya watu, ukielezwa unasema waache kulialia..huo ugonjwa wa kuwa TEGEMEZI watanzania hawautaki..Hakuna mahali nchi yenye utegemezi kwa wengine iliwahi kutatua matatizo yake ikafanikiwa, fanya kwanza sehemu yako yote kabla ya kuangalia wengine kukusaidia.
 
Wewe hunijui na punguza jazba zako zisizo na msingi. Hujui unaongea na nani, hivyo kuwa mpole punguza hilo povu.

SSH ni lazima atoke nje ni rais mkweli sana. Haongozi nchi kwa kutegemea propaganda za kudanganya watu kama sisi tuna uwezo mkubwa sana wakati anafahamu uhalisi wa mambo ulivyo.

Utegemezi ulimshinda Mwalimu Nyerere na kipawa chake chote cha kukubalika kimataifa alikuwa rais wa kwanza kusalimu amri kwa mamlaka za kimataifa za kiuchumi, sembuse Samia na awamu ya sita?.
 
Wewe unanijua..miaka 60 leo toka enzi za Mwalimu bado akili inafikiria majibu ya matatizo ya ndani lazima yatoke nje? Siasa za dunia zama za Mwalimu ziko sawa na sasa? unafikiri sawa sawa wewe..tunataka viongozi wenye majibu kutatua matatizo ya nchi hapa ndani, rushwa, uvivu wa kufikiri, matumizi mabaya ya mali za umma, wizi, ubinafsi, mifumo mibaya ya uongozi, nepotism, umangimeza nk..utajenga familia km akili yako kila siku inawaza jirani akusaidie hata kwa mambo ungefanya mwenyewe..hicho ndicho hatutaki, mtu akiambiwa ana akili amekalia utajiri ni propaganda? hakuna nchi iliumbwa maskini, ila wapo maskini wa kufikiri kwa kutotaka kutumia akili walizopewa kwa kiwango kinachopaswa, ni bahati mbaya watu km hao wawe viongozi..ndicho kinatokea Tanzania.
 
Tunapambana...tunakopa pesa tujenge mashimo ya choo
 
Huwezi kutoa maoni kama haya, mwisho usimalizie kwa kusema KATIBA MPYA YA WANANCHI NI MUHIMU NA LAZIMA...

Ulivyohitimisha tu hoja yako, mimi nikaelewa moja kwa moja hujui uandikalo na kusema...

Haya yanafanyika hivi kwa sasa kwa sababu mfumo wetu wa kikatiba na kisheria ndivyo unavyotaka na kuelekeza..

Ukitaka kifanyike tofauti na jinsi inavyofanyika sasa bila kwanza kubadili mfumo wetu wa kikatiba na kisheria itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu ukitegemea yatakuwa unga wa muhogo upike ugali ule...!

NDIYO MAANA WATU TUNATAKA KATIBA MPYA. TAFSIRI YAKE NI KUONDOA MAUZAMAUZA HAYA UNAYOYASEMA HAPA MAANA NDIYO TUNAYOYAPIGIA KELELE KILA SIKU
 
No man is an ireland, msemo wa kingereza nenda katafute tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili utaelewa mengi kuihusu dunia ya sasa ilivyo.
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.

Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

 
Ukimaliza kusikiliza hii nenda kaisikilize zile za mwendazake alizokuwa akiongea mara kwa mara kuwa hakutarajia.Alibeep tu ikakatalia huko
 
Kama CCM wangemchagua Samia Suluhu kuwa mombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.

Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.

Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme
 
Pamoja na kwamba huyu SASHA anapwaya lakini ana afadhali mara mia ukimlinganisha na Mwendakuzimu.
 
[emoji119][emoji119][emoji120][emoji120]
 
SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia.
 
No man is an ireland, msemo wa kingereza nenda katafute tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili utaelewa mengi kuihusu dunia ya sasa ilivyo.
Sihitaji..sabb naielewa dunia kuliko unavyoielewa wewe, mnaita wawekezaji kwa kutupa jiwe gizani..as if wawekezaji waliofanikiwa hawajulikani..bora Kikwete alifahamu matokeo ya kutupa jiwe gizani hayakuzaa matunda akabadilisha approach akampata Dangote..mambo madogo km haya unahitaji kufundishwa au kuijua dunia ya leo..
 
Kauli,mwenendo na maono gani yaliyodhihirisha kuwa hafai kuongoza Nchi .???Huu ni unafiki wa juu sana....Wakati anateuliwa mgombea mwenza uliwahi kutoa posti yoyote???Tulieni mama afanye kazi....wivu...chuki...husuda...legacy weka pembeni.
 
Makosa unayaona wewe usiye penda maendeleo ya Nchi
1. Miradi yote iliyoachwa na mtangulizi yake anaendeleza yote
2. Miradi mipya ameanzisha
3. Pato kutokana na utalii limeanza kuongezeka kwa kasi
4. Nyongeza ya mishahara
5. Demokrasia imefunguka
6. Kwa kifupi anaupiga mwingi
 
Hivi kipindi cha JK yule ingetokea bahati MBA ya yule mbeba mikasi Dr bill nae angekuwa rais?!πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwacheni mama apige Nazi ondoenni propaganda za kijinga. Kwanza wanaume ni makatiri sana tuongozwe na akibamama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…