Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kati ya Mawaziri wa hovyo Makamba, Nape & Mwigulu labda na yule wa mipango wanaweza kushika nafasi ya kwanza.
 
Kwa taarifa yako sasa hakuna Watu ambao ndiyo walikuwa wanaenda Kumharibia Mama kwa 2025 kama hawa Nuts.
 
Ana sifa gani huyo bibi kugombea urais? Anajidanganya sana kwenye hilo, ashakuwa Mzee aondoke na pension yake atulie na asiguse mbuga za wanyama
 
Jua tu kwamba Nape na January ni wafia CCM, hao tegemea lolote huko mbele. Wakulia hapo ni Byabato tu, ambaye yeye December 2025 atakuwa ashasahaulika.

Hao wengine, hata kama sio mawaziri wataendelea kula hata kama sio wabunge maisha yao yote kupitia msingi waliojijengea ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…