Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nawe ni mpumbavu kiasi hicho?Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.
Sio kweli jomba na Wala huelewi siasa za ndani wewe..Kaa kimyaa..ondoka na propaganda zakoMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.
Hapana. Angekuwa muumini wa demokrasia asingekataa kurekebisha katiba na asingefanya usanij kwenye tume ya uchaguziYa wizi wa kura? Mama hataki dhulma anataka demokrasia ya kweli...Tumpe Maua yake
Ni mambo gani wamekosea ktk uwaziri wao?Kwa hiyo ulitaka hata wakikosea aendelee kuwaacha? Kwani hizo fitina na mbinu za ushindi hawawezi kufanya wakiwa nje ya Uwaziri? Ukizingatia bado ni Wana CCM!
Wabongo aiseeMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.
Tulia dawa iingieMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.
Labda kinyume chake. Yaani mama kawatoka moyoni watanzania wengi sana.Kumbe nawe ni mpumbavu kiasi hicho?
Kwa taarifa Yako sasa Mama anaanza kutuingia moyoni
Wewee tunakujua ni Pro Makamba ,pro nape, na wajinga wengineo.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.
Hao watu uliowataja ni jambo gani la ubora waliwahi kufanya ambalo hadi sasa unalikumbuka? Hebu achaneni na oya oya, wekeni akili kwa wenye kufanya kazi.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.
UVCCM huwa hamfikirii, mnapelekwa pelekwa tu.Mbona Wengi tumeongeza imani kwake baada ya hii move, na tutampa kura kedekede
Yeye aliyewateua ndiye ajuaye na ndiyo maana kawatengua..Ni mambo gani wamekosea ktk uwaziri wao?
Tukutane 2025.nani amekwambia atagombea 2025? a deal is a deal …
IQ Yako ni ndogo that's why.Labda kinyume chake. Yaani mama kawatoka moyoni watanzania wengi sana.
1...kumbuka muswada wa uuzwaji wa bandari kwa DP World ulisomwa kila kitongoji na hatujasahau.
2...kumbuka uuzwaji wa Ngorongoro na Loliondo, hatujasahau.
3..kumbuka uuzwaji wa KIA, hatujasahau.
4..kumbuka kauza madini yote ya kwenye hifadhi. Hatujasahau.
5...kumbuka kawapa wakorea madini na bahari ili akina Wema na Steve Nyerere wakawaone Misomisindo wa kichina. Hatujasahau.
Atatoboa asubuhi na mapema, mama alishasema tatizo la Tanzania siyo upinzani bali ni fitina na Makungu ndani ya ccm. Kwa kauli za Nape ilitakiwa chama kimuite kwenye kamati ya maadili au bunge, ile ilikuwa ni kauli hatari ya kumpa nafasi adui wa amani ya Tanzania apate nafasi, yeye ni waziri tena wa habari kauli yake ni kauli ya serikali. Mama ni rais bora, mzuri, mwenye huruma, nilikuwa sipigi kura ila 2025 nitaenda kupiga kura.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025