Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo majizi hayana msaada wowote,

Labda atakwama Kwa kuuza bandari na raslimali za Bara.

Yaani Serengeti igeuzwe mgodi wa Dhahabu!!

Tusubiri!!
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Aliyekudanganya kuwa amewavuruga ni nani? Siasa ni sayansi...... mama anawapanga upya.
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kama wakongwe washinde mechi źao kivyao.Uzuri kichwa,miguu na hata mikono inaweza kuwasaidia.
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wewe kweli ni sexless.
Hao hawatabadilisha chochote kwenye matokeo ya uchaguzi mkuu 2025.
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamna mwenye nguvu dhidi ya Mwenyekiti wa CCM, period
 
Lkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushndi wa chaguzi.
Nape ana mipango gani ndugu yangu!?
Ni overrated loser. Yule alikuwa kati ya mawaziri wenye uwezo mdogo ktk historia ya nchi yetu.
Tulisha andika sana humu sema wakubwa hawakutusikia sababu ya Nepotism.
Tulishawaonya juu ya January Makamba toka anateuliwa uwaziri wa Nishati. Mambo ya nje kule afadhali kidogoooo alipaweza.
 
Nape anakuja mipango gani ndugu yangu!?
Ni overrated loser. Yule alikuwa kati ya mawaziri wenye uwezo mdogo ktk historia ya nchi yetu.
Tulisha andika sana humu sema wakubwa hawakutusikia sababu ya Nepotism.
Tulishawaonya juu ya January Makamba toka anateuliwa uwaziri wa Nishati. Mambo ya nje kule afadhali kidogoooo alipaweza.
Bao la mkono tumelikataa,sasa wafunge ya kichwa tuyaone.
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hivi wewe umetumia ubongo upi kufikia hyo conclusion.
Hivi nape na makamba wao ni nani ktk nchi hii.
Jitafakari
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hakuna wa kumkwamisha mwenyekiti wa CCM kwenye uchaguzi,yeye ndiye uchaguzi na tafsiri ya uchaguzi.Kidumu chama cha mapinduzi....
 
Wala issue sio akina nape, wala nini only deep state can plot anything, hamuwezi kupanga mikakati ya kukwamisha kazi za rais ili muhalalishe asiteuliwe tena na chama Kwa kuona mambo hayaendi halafu muachwe hua haiko hivo
Kwa hiyo weweataja unataka ateuliwe tena hata kama anaharibu?
Chawa akili zenu bwana
 
Back
Top Bottom