Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wewe ni kipapa tu😂 katika siku ambayo mama atafanya jambo la msingi basi ni siku atakayowafurumusha hao wanafikiMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.
Raisa Samia hatoboi 2025.