Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nape anatumia tungo tata halafu watanzania wote tulivyo hivi tutegemee Hawa tu? Kufikiri kwa niaba yetu
 
Kuna unafiki hapa balaa...
Marope anataka kua Rais sio Ras
Nape nae the same
Miguu ya Chemba Rais wa Mawe nae the same

Huo mchuano ni Mkali Ila hakuna hata mmoja wapo atakuja kua

Ila Miguu ya Chemba amekua akiingia sana JF kupiga defensive attack za hapa na pale kutetea kiti chake Hawa mabwana wengine wamelewa madaraka ndio maana wamekula mweleka
 
Yani nyumbu atoe ushauri wa mahesabu ya kisiasa kwa ccm? Si afadhali wangetoa ushauri chawa kwa kuwa ni chama chao tungewasikiliza.
Kwa uamzi huo kwa kweli nampongeza sana Rais Samia. Amefanya uamuzi wa muhimu sana kuondokana na mawaziri mizigo. Hii mizigo ilitupwa na mtangulizi wake, hata sijui ni kwa nini yeye aliiokota na kuirudisha uwazirini ?!
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Waambie Nape na Mwezi wa Kwanza hata jimboni tunaweza kukata majina yao
 
Eti JPM aliwabwaga na akuna kilichotokea kama angekuwa na uwezo ata kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao angewakata mbona byabato alishika nafasi ya sita kwenye kura za maoni jina likaludi la kwake? Je JPM baada ya kuwabwaga yuko wapi kwa sasa? Je Samia baada ya kuchukua nchi mbona aliwaludisha wote? Tusiwakatie tamaa ngoma bado nzito sana hii tena kwa hao wawili. Mm niko seat ya mbele.
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mama Samia atashinda kwa 95% utakuja niambia hapa
 
Eti JPM aliwabwaga na akuna kilichotokea kama angekuwa na uwezo ata kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao angewakata mbona byabato alishika nafasi ya sita kwenye kura za maoni jina likaludi la kwake? Je JPM baada ya kuwabwaga yuko wapi kwa sasa? Je Samia baada ya kuchukua nchi mbona aliwaludisha wote? Tusiwakatie tamaa ngoma bado nzito sana hii tena kwa hao wawili. Mm niko seat ya mbele.
Mim naomba muwe live hivi hivi nyie kuleeni mnavyoweza hata mkiuwana sisi tunataka maisha myabadilishe (makodi) mama zetu maishayao magumu na ndio wanamikubali ufike muda tuteuliwe viongozi wenye sifa sio kisa ukada maarufu ndani ya chama hii kitu hii [emoji850]
 
Hautaisha ila ni mwanzo mzuri wa fagia fagia ya wachumia tumbo.

..nawashangaa sana nyie.

..Makamba na Nape kuondolewa hakutaleta unafuu wowote ktk udhalimu wa Ccm.

..hebu niambieni mnatarajia nini kitaboreka ktk maisha ya Mtanzania au Mtanganyika baada ya Makamba na Nape kutenguliwa.

..Je, bei za bidhaa zitashuka? Kodi zitapungua? Ajira zitaongezeka? Uchumi utapaa? Serikali itabana matumizi? Bunge litaisimamia serikali? Tutaandika Katiba Mpya? Tutapata Tume huru ya uchaguzi? Polisi watafuata sheria?

..Msishangilie mambo madogo madogo? Bila kuiondoa Ccm madarakani hakutakuwa na unafuu kwa Watanzania.
 
Nape ni moja ya watu ovyo sana Tanzania, kafanya vizuri kumuondoa. Mtu aliyefikia level za kutamka mbele ya watu kuhusu swala la kuiba kura huku anacheka as if it's nothing. Mama kamkumbusha kidogo kua kapangiwa seat hana nguvu pale.
 
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya ccm. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.

Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya rais Samia.

Rais Samia hatoboi 2025.

Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Na asitoboe lakini kwa hili alilofanya amefanya vizuri saana!
 
Back
Top Bottom