Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uwongo hakuna aliye juu ya ccmMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kwa hicho alichokifanya SSH, 2025 nampa kura yangu. Nape na january waliamini serikali ni mali ya familia zao.Amefanya vizuri sana, haya si ndiyo mambo tunayoyapigia kelele kila siku? Mama ameonesha uthubutu, kwa kweli amenifurahisha sana.
UVCCM ANDAENI MAANDAMANO KUMPONGEZA MH RAIS SSH KWA MSIMAMO THABITI, HATAKI DHARAU WALA MAJUNGU.Mama kafanya vizuri toka kaanza kutengua, hakuna chochote kitakachotokea.!!
Tena aendelee kutoa wengine, kathubutu kwa hili apongezwe japo kachelewa.
Kama ni mikakati kama ile aliyoielezea NAPE, hapo uko sahihi.Lkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushindi wa chaguzi.
Mleta uzi ni mtu wa hovyo sana mpumbavu huyu. Yaani katika kitu sipendi ni raia kuendekeza michezo katika eneo la uongozi wakitaka watu wale wale waendelee kuwepo na watu wenyewe ni washenzi washenzi tu wasio na mbele wala nyuma.Mawazo ya 'Kipuuzi' kama haya ndio huwa yanafanya January Makamba na Bumunda Nauye wahisi wanastahili kila kitu kwenye hii nchi. Shenzi sana
Una ugonjwa wa Stockholm.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Akifanya hivi mapema itaonekana kumbe kuwa mpizani ndani ya chama inalipa itafanya kuibuke wimbi la waigizaji within the party kujifanya wanaikosoa serikali kumbe lengo lao nikutaka waonekane tu wakifiri labda one day nao wanaweza pata teuzi, Mpina itafaa sana kula teuzi miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu.Chura hajui kucheza ma mazombi, kwenye mkeka wa leo angemuweka na mpina.
Siasa zimebadilika NAPE na MAKAMBS/ MWIGULU mawazo yao yote uchaguzi ni kuiba kura kwa dunia ya GEN Z ni rahisi kuingiza nchi kwenye vurugu na kumharibia mama. Wananchi wamefurahi sana. Kwa hili mimi ni CCM ninampa points. Credibility ya mama imepanda.Kwa taarifa yako sasa hakuna Watu ambao ndiyo walikuwa wanaenda Kumharibia Mama kwa 2025 kama hawa Nuts.
Mama anaanza kuisafisha ccm,kuelekea uchaguziKwa hiyo ulitaka hata wakikosea aendelee kuwaacha? Kwani hizo fitina na mbinu za ushindi hawawezi kufanya wakiwa nje ya Uwaziri? Ukizingatia bado ni Wana CCM!
yani wewe unaona wanaojisifia kuiba kura ni bora kuliko mwananchi mwengine yeyote uleMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Poleni sana cheo ni dhamana ccm haijawahi kuteterekaMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mikakati haramu kama aliyoikiri mwenyewe NapeLkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushindi wa chaguzi.
Hawajampotosha Rais ni taasisi, swali fikirishi hivi kijizima data ni niniMarope anataka kua Rais sio Ras
Nape nae the same
Miguu ya Chemba Rais wa Mawe nae the same
Huo mchuano ni Mkali Ila hakuna hata mmoja wapo atakuja kua
Ila Miguu ya Chemba amekua akiingia sana JF kupiga defensive attack za hapa na pale kutetea kiti chake Hawa mabwana wengine wamelewa madaraka ndio maana wamekula mweleka