HenryKundy
Member
- Jun 1, 2023
- 18
- 72
Yaani mtu ambaye nchi na vyote vilivyomo viko chini yake hatoboi 25 kwa sababu ya kuwaondoa hao wawili tu?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni bwana zako tafuteni sehemu ya kujifariji na bado fagio linaendelea hiyo ni intro tu mnamjaza ujinga mama wa watu aonekane hamnazo kumbe mna jambo lenu asitoboe kwa ajili ya watoto wadogo hao walitulizwa kina Lukuvi itakua hao madogo?Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hawajaondolewa kwenye chama, bado ni senior members.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wewe ndio umepotoshwa kutokana na kuwa na uhusiano nao wa moja kwa moja katika masuala kadhaaMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Watakuwa wamesharudi, assuming wataondoka kwa muda kwenda upinzaniMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
bibi chura hatoboi 2025 inafahamika kitambo wala sio sababu ya kuwafurusha hao mafisadi vilaza nape na januari, pia huyo nape na januari pia hawatoboi 2025 vilevile.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hawana ubavu wa kufanya chochote dhidi ya Ccm wala dhidi ya Mwenyekiti !Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hakika kabisa Mama anaiogopa Dhulma 🙏 !Ya wizi wa kura? Mama hataki dhulma anataka demokrasia ya kweli...Tumpe Maua yake
Uwizi wa kura umeshakuwa ngumu sasa maana Nape ameshalikoroga vibaya !Hapana. Angekuwa muumini wa demokrasia asingekataa kurekebisha katiba na asingefanya usanij kwenye tume ya uchaguzi
Nje ya Dola ni Taasisi ya kawaida tu 😳🙌Ccm kama iliweza kusimama bila ya nyerere na hata lowasa alivyotoka chama kilikuwa imara, hawa wengine wakawaida sana, ccm ni taasisi imara sana kuliko unavyodhani
Mwingine alitembelea magoti kwenda kuomba msamaha !Acha kuwapandisha vichwa hawana lolote JPM aliwatupa nje na mambo yakasonga
Sasa ni nani atatoboa?!?!?!Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Makamba alipiga pesa nyingi katika mradi fulani uliosainiwa baada tu ya kupewa uwaziri wa nishati.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mimi sina chama mkuu niko neutral sipendi uchawa ila napenda democracy safiUVCCM ANDAENI MAANDAMANO KUMPONGEZA MH RAIS SSH KWA MSIMAMO THABITI, HATAKI DHARAU WALA MAJUNGU.

Omeona kuleeeeeeeee!Nani amekwambia atagombea 2025? a deal is a deal …