CCM haitegemei kubebwa kwenye mbeleko. Ni ugonjwa mbaya hiyo ni short live strategyHawana ubavu wa kufanya chochote dhidi ya Ccm wala dhidi ya Mwenyekiti !
Mamba huwa ana nguvu akiwa majini lakini nje ya maji ni sawa na mjusi mkubwa. 😳🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haitegemei kubebwa kwenye mbeleko. Ni ugonjwa mbaya hiyo ni short live strategyHawana ubavu wa kufanya chochote dhidi ya Ccm wala dhidi ya Mwenyekiti !
Mamba huwa ana nguvu akiwa majini lakini nje ya maji ni sawa na mjusi mkubwa. 😳🙌
Jerry Slaa Ana kitu cha kusema kafanya nini na nini, lkn Nape hakuna zaidi ya vifurushi kupanda bei, kutaka mtandao wa Twitter usitumike Tz, January akiwa Wizara ya Nishati alizidisha mgao wa umeme na kuwa na majibu ya kitoto.Watangulizi wao wamefanya nn? Nchi hii mwenye maamuzi ya nini kifanyoke wapi ni mungu mtu (rais) tu. Mipango na bajeti ya wizara ni lazima ikubaliwe na mwenyekiti wa baraza la mawaziri (rais).
Kwahiyo tusiongopeane kwamba Kuna waziri anaweza kujifanyia mambo yake ktk wizara ili aache alama.
In Africa, the subordinate is not supposed to outshine their boss.
Rais Samia hatoboi 2025.
Siyo kwamba atakwamishwa na upinzani. Huyu wanaccm wenyewe wamepanga kumkwamisha.Kwa nchi zisizo na democracy ,rais akiwa anagombea muhula mwingine unafikiri kuna possibility ya kushindwa? Wahy unafikiri upinzani unapambana kupata katiba mpya na tume huru?
Siyo kwamba atakwamishwa na upinzani. Huyu wanaccm wenyewe wamepanga kumkwamisha.
Unafikiri ni kwann amewatengua mawaziri wengi? Kwann kawaondoa watu wengi waliokuwa wakifanya kazi ikulu? Kwanna kawabadilisha wakuu 4 wa idara ya usalama wa taifa.
Mama upepo unakata. Weka kumbukumbu ya comment yangu hii utakuja kunikumbuka
Lets pray soTukutane 2025.
Paul Makonda Huwa ananifirahisha na hii Kauli .
In fact ,Samia Hagombei 2025.
Ilikuwa inajulikana tangu zamani lakini Nape ndio amehitimisha kila kitu 👍CCM haitegemei kubebwa kwenye mbeleko. Ni ugonjwa mbaya hiyo ni short live strategy
Ukiwa jikoni unaweza pika chakula utakachoamua mpishi nasio wanachotaka walaji ilelewekeMwisho wa siku wanaojua zaidi ni waliopo jikoni
Nani alikua juu ya January wakatihuoJerry Slaa Ana kitu cha kusema kafanya nini na nini, lkn Nape hakuna zaidi ya vifurushi kupanda bei, kutaka mtandao wa Twitter usitumike Tz, January akiwa Wizara ya Nishati alizidisha mgao wa umeme na kuwa na majibu ya kitoto.
Wasioeleweka ni wachache sana.Yeye anadhani Mhe.Rais ana shida sana urais, Rais wetu si mshamba wa madaraka.Mbona Hamueleweki🙄🙄🙄🙄🙄
Umeambiwa hivi wahamie TLP tuone kama hizo mbinu zao zitafanya kazi.Kwa hiyo ulitaka hata wakikosea aendelee kuwaacha? Kwani hizo fitina na mbinu za ushindi hawawezi kufanya wakiwa nje ya Uwaziri? Ukizingatia bado ni Wana CCM!
Umeambiwa hivi wahamie TLP tuone kama hizo mbinu zao zitafanya kazi.
Wewe hapa unataka huyo "Rais Samia ATOBOE 2025"?Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Dah,Nani amekwambia atagombea 2025? a deal is a deal …
Duh!Amefanya vizuri sana, haya si ndiyo mambo tunayoyapigia kelele kila siku? Mama ameonesha uthubutu, kwa kweli amenifurahisha sana.
Sema mikakati ya wizi....Lkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushindi wa chaguzi.
Mkuu, mimi nina moyo wa shukrani na kuthamini kinachofanyika kwa nia njema hata kama ni kidogo.Duh!
Haishangazi. Hata katika uvumulivu wa maumivu binaadam hutofautiana, sembuse katika maswala kama haya?
Kwa hiyo kwa upande wako, kisha maliza kazi katika maumivu yaliyo kuwa yakikusibu! Kuwatumbua Kipara na Neppy, anastahili mitano mingine!