Kwa taarifa za uhakika ni kuwa January , Bashe , Nape na wengine ambazo nitawataja hapa baada ya kikao kuanza wanakutana Tanga beach resort kuanzia jioni ya Leo kupanga "the next forward" baada ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya members katika cabinet.
Hakuna kitakakachojificha. Kila aina ya uhuni na ushenzi unaopangwa utawekwa hadharani na hatua Kali za kuwadhibiti zitachukuliwa.
Angalizo: Mama Samia usidhani ni januari na Nape tu ndio waliokua wanakuzunguka wapo na wengine na muda si mrefu tutawataja. Hussein Bashe ni mmoja wapo yupo Tanga kwenye kikao hiki.