Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hapo umenena nimekuelewa.Huyo Samia mwenyewe ni muumini wa wizi wa kura, na anategemea wizi wa kura ili kurudi ikulu 2025.
Ndiyo maana wajuvi wa mambo tunamhurumia na tunaona amewaondoa mabingwa wa wizi ambao wangemsaidia.
Kwa kura halali Samia anaweza kubwagwa hata na Hashimu Rungwe.