bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
hasira za wapambe wako kuondolewa uwazir?Ana sifa gani huyo bibi kugombea urais? Anajidanganya sana kwenye hilo, ashakuwa Mzee aondoke na pension yake atulie na asiguse mbuga za wanyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hasira za wapambe wako kuondolewa uwazir?Ana sifa gani huyo bibi kugombea urais? Anajidanganya sana kwenye hilo, ashakuwa Mzee aondoke na pension yake atulie na asiguse mbuga za wanyama
Hakuna kitu kama hicho kwa nchi hii ya 80%ya VILAZA?!!Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kweli kwenye ardhi kulikuwa na shida gani ya kubadirisha waziri, ndio maana nasema teuzi hizi huwa ni sandakalawe tu, yaani ni mtu kujisikia tu, nenda kule, njoo huku, atlu tokaUtoboi ww acha Mama Samia afanye kazi nimefurahi kutengua Nape ila nimesikitika kumtoa Jerry Slaa Aridhi angemuacha pale
Hivi ni waNEC wa Chama?Nape na January
Peter msigwa atateulia mgombea mweza 2025 awe makamu wa raisYani nyumbu atoe ushauri wa mahesabu ya kisiasa kwa ccm? Si afadhali wangetoa ushauri chawa kwa kuwa ni chama chao tungewasikiliza.
Kwa uamzi huo kwa kweli nampongeza sana Rais Samia. Amefanya uamuzi wa muhimu sana kuondokana na mawaziri mizigo. Hii mizigo ilitupwa na mtangulizi wake, hata sijui ni kwa nini yeye aliiokota na kuirudisha uwazirini ?!
Nadhani pia tume-overlook vitu vya msingi kutokana na kuguswa watu wawili tu kati ya kansa kubwa iliyopo.Amefanya vizuri sana, haya si ndiyo mambo tunayoyapigia kelele kila siku? Mama ameonesha uthubutu, kwa kweli amenifurahisha sana.
Makamba
yes..wote wapo NEC.Hivi ni waNEC wa Chama?
Hakika .Uongozi unatoka kwa Mungu - Samia Suluhu Hassan
Hizo ni sarakasi tu za Ccm, usishangae wakiingizwa kwenye timu ya ushindiMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Na watagombana sana! Mungu wa Mbinguni anajibu maombi ya watu wake kwa ajili ya watu wanaogeuza ardhi na mbingu inayofunika Tanganyika kuwa ni mali yao. "Si tunalamba asali si eti jamani"?Mawazo ya 'Kipuuzi' kama haya ndio huwa yanafanya January Makamba na Bumunda Nauye wahisi wanastahili kila kitu kwenye hii nchi. Shenzi sana
Muktadha sahihi kabisa.Maghufuri aliyaona Mapema, Nape na January ni Wanafiki Sana....
Nape amejaa Kiburi ambacho hakiwezi kumsaidia.
Yaani wabongo sio wa kuwaamini sanaa.Mbona Hamueleweki🙄🙄🙄🙄🙄