Umetaja jina ukaandika bila ushahidi wowote. Una uhakika mohamed Saidi hajaandikia kuhusu John Rupia?
Kwanini wewe usimpe "kipaumbele" kwa kutuletea ya ziasa kuhusu John Rupia.
Hivi alipataje jina la pesa za kihindi "Rupia" na ilhali nijuavyo ni msukuma?
Leta vitu.
Kimya hujakaa nakubaliana na wewe 100% kwa hilo. Lakini hujaleta historia yoyote ile iwe ya wazee wako au ya wazee wa wenzako.
Ndiyo maana nikakueleza kuwa labda walikuwa upande wa wapinga uhuru. Ndivyo? Ndiyo maana unapata kigugumizi cha mikono kuwaandika?
Upingaji wako unaelekea unataka kujuwa usilolijuwa lakini unaona haya kuuliza. Sababu tu, ulikuwepo wakati huo tena una akili sana lakini inaonesha kwa bahati mbaya kabisa hukuwa upande wa "winners". Huna wa karibu yako aliyekuwa kwenye upande wa kudai uhuru? Kama yupo muelezee. Hii ni challenge. Leta hata kama walikuwa upande wa pili wa shillingi, yote ni historia.
Ulitumia neno "kipaumbele" hujatumia neno "prominence" usobadili maneno.Soma vizuri katikati ya mistari na uelewe; sijasema kuwa historia ya Mzee Rupia haijaandikwa la hasha!!! Nimewaambia kuwa hajapewa prominence kama wanavyopewa wakina Abdulwahid na Ally!!!
Ukitumia neno "kipaumbele" hujatumia neno "prominence" usobadili maneno
Inna Allah maa swabiri. Tunasubiri.Sheikh nashukuru kwa kunivika kilemba cha ukoka ; mimi sio mwana historia ila nimejaliwa fani nyingine lakini hata hivyo I accept your challenge vuta subira.
Kajisome, uliandika "kipaumbele" uliporudi kunijibu ukachomekea "prominence" na nikakujibu kwa yote hayo. Kanisome vizuri."Prominence" sio kipaumbele bali ni " umuhimu"!!!
Hapa naona unamjibu "Sheikh" mimi labda uandike "Sheikhat".Sheikh nashukuru kwa kunivika kilemba cha ukoka ; mimi sio mwana historia ila nimejaliwa fani nyingine lakini hata hivyo I accept your challenge vuta subira. Ningependa kuandika historia juu ya WAMANYEMA hapa nchini ; nadhani kwavile ulisema babu yako alitokea huko Belgian Congo unaweza kuwa na msaada fulani!!
Hisitoria yetu imepotoshwa mno lakini ukiwa mvivu wa kujifunza huwezi kugundua hilo.Umetaja jina ukaandika bila ushahidi wowote. Una uhakika mohamed Saidi hajaandikia kuhusu John Rupia?
Kwanini wewe usimpe "kipaumbele" kwa kutuletea ya ziasa kuhusu John Rupia.
Hivi alipataje jina la pesa za kihindi "Rupia" na ilhali nijuavyo ni msukuma?
Leta vitu.
Inna Allah maa swabiri. Tunasubiri.
Kwa kukujuza tu, mpaka leo tunasubiri kutoka kwa pascal mayala aliahidi kama wewe atatafuta kitabu asome aje na mrejesho.
Zamani kidogo aliahidi anaejiita Yericko Nyerere kuwa atakuja na kanda ya hotuba ya Mwalimu Nyerere ya kuaga pale diamond. Tena alisema ataifata Msasani. Mpaka leo tunasubiri, bado tu.
Akaahidi tena atakuja na habari za uhakika kutoka kwa akina Mkwawa. Mpaka leo tunasubiri.
Wakaja kina Mzee Mwanakijiji na wenzake wakaahidi watakuja na kitabu cha kukosoa anayoyaandika Mohamed Said ili waweke historia sawa. Miaka sasa inakwenda bado tunasubiri tu.
Ikiwa tumeweza kusubiri wote hao tutashindwa kusubiri hili lako kuhusu John Rupia?
Hapa naona unamjibu "Sheikh" mimi labda uandike "Sheikhat".
Mimi siyo Mmanyema na sijawahi kusema babu yangu katoka "Belgian Congo". Unakurupuka
Siyo "Sheikh" ni Sheikhat.Sheikh hili la John Rupia huna haja hata ya kusubili kwani ameishaandikwa sana hata ukienda kwenye Journal of history and Anthropology taarifa zake zimejaa!! Kitu kimoja tu ni huo mtindo mnaotumia mara mnapopata CRITIQUE kujitetea kuwa hao wanaokosoa kazi zenu basi waandike zao!!! Huko kunaonesha kukosa uvumilivu wa kukosolewa.
Ndinani,Soma vizuri katikati ya mistari na uelewe; sijasema kuwa historia ya Mzee Rupia haijaandikwa la hasha!!! Nimewaambia kuwa hajapewa prominence kama wanavyopewa wakina Abdulwahid na Ally!!!
Historia pana ya uhuru wa tanganyika na mambo yake ipo mtaani kwa wazee wa kitambo,
Ya shuleni imechujwa chujwa wee utamu wote ukachwa,
Sheikh linatumika kwa wanaume. Sheikhat kwa wanawake.Hapa umejistukia sio kuwa wewe ni "Sheikhat" na sio mmanyema!!!!
Ndinani
Nilikuuliza juu huko, vipi John RUPIA ana jina la pesa za Kihindi "rupia" na yeye tujuavyo ni Msukuma, hujanijibu.
Kama hujuwi sema tu, maana sitegemei kuwa unaweza kujuwa kilakitu kuhusu John Rupia.
Sasa kama nimeandika wewe unauliza nini?Kwani juu hapo uliandika wa wapi? Kama umesahau rudi ukaone ulichoandika kikapelekea nilichokuuliza.
Nimeuliza wewe wapi? Maana umewataja "wa Msikitini" kama viile ni kitu kigeni sana kwako au cha ajabu. Kwa kejeli.Sasa kama nimeandika wewe unauliza nini?
Ooh kwa kujuwa mambo wewe ni hodari sana. Hiyo ni historia iliyotukuka ya John Rupia.Hili neon RUPIA linatokana na RUPEE ambayo ni fedha za India. Sasa Mzee John cuita kwa jina hilo bila shaka ilitokana na yeye kuwa tajiri!!
Sheikh hili la John Rupia huna haja hata ya kusubili kwani ameishaandikwa sana hata ukienda kwenye Journal of history and Anthropology taarifa zake zimejaa!! Kitu kimoja tu ni huo mtindo mnaotumia mara mnapopata CRITIQUE kujitetea kuwa hao wanaokosoa kazi zenu basi waandike zao!!! Huko kunaonesha kukosa uvumilivu wa kukosolewa.